Adverts

Apr 21, 2009

HONGERA MZEE MALECELA

Nimekubali ya kale ni dhahabu" kuna wengine tumeshikana mikono na wengine hatujasalimiana wala kushikana mikono, lakini woote kwa pamoja ninapenda kuwashukuru kwa kushiriki kwenye hafla hii, mmeonyesha upendo kwangu. mzee Malecela tupo pamoja