Adverts

Apr 21, 2009

HONGERENI KWA KUCHOMOA DAKIKA ZA REFA

iNADAIWA kuwa ati mlichomoa bao kwenye dakika za refalii siyo za uwanjani sijui nikweli maneno haya, lakini hongereni kwani maajabu kama haya ndiyo yanayoziokoa timu kwenye migogoo vinginevyo ungeshuhudia watu wakichapana makonde na bakora wakati mchezo ni furaha!!!!!