Adverts

Apr 8, 2009

HUU MLANGO WA UNAUONAJE

hii ni moja ya art za kumbukumbu zilizobuniwa na watanzania wakati tukiendesha miradi ya umma wenyewe, huu ni mlango wa hotel ya MOROGORO wenyewe mnaita Morogoro Hotel, niliupenda sana mlango huu ulivyopambwa na kusanifiwa. Bila shaka mbunifu alitoka zenji ama umakondeni manake wao ndo wamebobea katika kudesign!.
ahsante designer