Adverts

Apr 21, 2009

Interpol mpooo

kwa wasiyoijua nembo ya Interpol, hapa ni lidude lao, kimsingi wanafanya kazi kwa ushirikiano wa karibu baina ya polisi wa nchi na nchi, na awmefanikisha sana kuzuaia wizi wa magari na usafirishaji wa biashara harama ya nani hii