Adverts

Apr 7, 2009

KAKAO ZA KUTUKUJU NA KYELA

Unalijua zao linaloitwa KAKAO, Kyela na Rungwe wanakula madolali manake zao hili bwana unaweza kutengeneza ugimbi na vinywaji na vitu vya kuunganishia kwenye break fast. huyu bwana alikuwa mchezaji wa simba miaka ya nyuma ameamua kurudi kijijini KU TUKUJU kukamua kakao, maisha bwana!