Adverts

Apr 7, 2009

MTU AMEULIZA MSAIDIENI

Vyandarua vyenye dawa Nasikia dawa inayowekwa kwenye vyandarua ni DDT. Je hii dawa haiwezi kutumika kuua mbu wote wanaoeneza Malaria? Kuna agenda yoyote ya siri ya kushindwa kutokomeza Malaria? Tafadhali tujadili hili!