Adverts

Apr 7, 2009

MZEE NA MKAKATI WA KUKUZA UCHUMI NA KUONDOA UMASKINI

Mkakati wa kukuza uchumi na kuondoa umaskini -MKUKUTA na ule mwingine sijui kurasimisha biashara na nanihii kwa wanyonge MKURABITA vinampitia kweli? manake ana kapu tupu halafu anasubiri neema!!!! jamani kazi ipo lakini matumaini yapo manake kila kukicha afadhali ya keshokutwa inakuja. Tunaimani na JK mambo yatakwenda njema uongo?