Adverts

Apr 21, 2009

MZEE WA KICHAKA ANAVYOZISAKA PESA

Mzee mmoja wa Kichaga ambaye alikuwa mkalisana kwa binti yake anaamka asubuhi na kutaarifiwakwamba binti yake ana mimba! Mzee wa Kichaga:"Aisee we Manka,nakwenda kazini,nikirudi leo ni lazima uniambie ni nanikafanya uchafu huu"Anafoka na kuondoka kuelekea ofisini. Mchana anapigiwa simu na Mama Manka nakuambiwa kwamba yule jamaa aliyempa mimba bintiye yuponyumbani anamsubiri kwa mazungumzo! Mzee anachukua panga lake na kulinoakabisaaa kwa ajili ya kwenda kumteketeza mwanaharamu huyo. Kufika nyumbani mambo yanakuwa hivi: Kijana aliyempa mimba binti:Mmmh!!Mzee ni kweli mi ndiye nimempa mimba binti yako, na kusemakweli sina mpango wa kumuoa.Lakini akizaa mtoto wa kiume nitakupa US$ 1 million naghorofaKariakookisha nachukua mtoto.Akizaa mtoto wa kike nakupa US$ 1million na duka Sinza! Lakini je mzee, ikitokea bahati mbaya mimba hii ikaharibikaitakuwaje? Mzee wa Kichaga:Aisee babaangu itabidi tuumpe mimba nyingine,hakuna jinsi!