Adverts

Apr 7, 2009

NGURUWE ANAPOGONGA ULABU

Jamani hawa nguruwe namna gani manake wanaonekana wazi kuwa ni walevi wa kupindukia, Onyo usile kitimoto kutoka maeneo ya bonde la Kamsamba kwani kITI MOTO kina alcohol 67.9 % + VAT 20% and dont try this at home!!!!