Adverts

Apr 7, 2009

Nkwenzulu Tweve mtu wa watu

Mzee Nkwenzulu Tweve aliyeshika grasi na kidevu, ni miongoni mwa watanzania walioitumikia nchi hii kwa uaminifu enzi hizo akiwa mkuu wa madereva Ikulu enzi za mwalimu. sasa ni mjasiliamali anayeendesha shughuli za hoteli mjini Mbeya, hapa akiwa na wenye mahoteli wengine mkoani Mbeya