Adverts

Apr 21, 2009

SAAAFI MAMTONI BONGO UNITED INATUWAKILISHA

Nimelamba hii picha kwa mdau wa mablog mh Michuzi, kimsingi nimevutiwa na watanzania hawa walioko ughaibuni kwa kuanzisha timu yao ya soka kwa kuiita bongo united, hebu watengenezeni vijana huko halafu wapate ajira manake ni kupitia humo humo madalali na mawakala wanatoa macho bwana!!