Adverts

Apr 7, 2009

Show za bure wakati mtu anahitaji sabuni?

Kaka una kazi nzito ya kuoga baadaye!!! kazi hii ya show hutegemea sana watu wanaokuja kukutuza kwa sababu wengi wa wacheza shookama hawa ni wa kujitolea ama tunaita amarture!! sasa huyu bwana akikutana na wabahili wa Tunduma ambao hawatoi kitu inakuwaje? pole ndugu yangu manake lazima uoge kwa komoa kama siyo foma limao!!!