Adverts

Apr 7, 2009

ULISHASIKIA MSONGAMANO TUNDUMA

Hii ni kitu cha kawaida kwa mji waTunduma kila siku msongamano wa magari yanayosubiri kukamilisha taratibu za kuvuka upande wa pili, Zambia wanakusudia kufunga mtambo wa kukagua magari unaochukua dakika mbili hadi tano kwa kila gari linalopita, watakuwa wametuacha mbali,kwa sasa teknolojia hiyo inatumika kwenye border za zambia na Zimbabwe na imeonyesha ufanisi mkubwa.