Adverts

Apr 21, 2009

WAZIRI MKUU AKIKAGUA GAWRIDE CCP

Vijana hongereni kwa kuhitimu mafunzo yenu vyema, sasa mkija uraiani changamoto ni kuwa mtumie vyema taaluma yenu ya kijeshi katika kudhibiti uhalifu na msiwe chanzo cha uhalifu, manake kuanza kujenga tamaa kunasababisha kutumia vibaya weredi zenu na matokeo yake mnajikuta mkilaumiwa na jamii: Tumeanzisha polisi jamii tukitegemea kuwa mtashirikiana na wananchi katika kuzuia uhalifu na siyo kufyagilia uhalifu. Afaandeeep