Adverts

Jul 9, 2009

Nimeshapata jiko

Salaam wasomaji wa blog hii, ninapenda kuwaashukuru wote walionitumia salaam za kheri ya kuanza ndoa na maisha ya mke na mme, kimsingi nimeanza hatua hiyo na bado tutaendelea kupeana usahauri kwenye safari ya maisha. all the best Danny