Adverts

Sep 3, 2009

Salaam waungwana

Ndugu zangu kwa muda mrefu kidoogo nilikuwa na majukumu ya kiserikali sikuwa hewani sasa nimerejea na ninadhani nitaendelea kuwapa vitu vilivyo vya uhakika kwa wakati na muda unaotakikana. kwanza tulia kunywa kahawa halafu endelea