Adverts

Feb 4, 2011

FFU YATAWANYA KWA MABOMU MAANDAMANO CHUO KIKUU DAR

FFU YATAWANYA KWA MABOMU MAANDAMANO CHUO KIKUU DAR: "
FFU wakiyatawanya kwa mabomu maandamano ya wanaafunzi wa UDSM ya kudai nyongeza ya posho ya sh. 5000 wanayopata sasa ili walipwe sh. 10,000. maandamano hayo yaliishiia eneo la Savei, jijini Dar es Salaam ambapo ilikuwepo ngome ya FFU.
Wanafunzi wakikimbia mabomu
Wanafunzi wakiandamana kwenda ofisi ya Waziri Mkiuu kudai nyongeza hiyo.
"