Adverts

Feb 2, 2011

pinda afungua mkutano wa mabenki ya wananchi

pinda afungua mkutano wa mabenki ya wananchi: "
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiongea na Bibi Dorothy Nduku Kipsang mwakilishi wa Swedish Coopperative Centre kutoka Kenya baada ya kufungua mkutano wa wadauwa jumuiya ya benki za wananchi (community banks association -CBA ) katikati ni mwenye kiti wa jumuia hiyo bwana Sylvester Katemana mkutano huo umefunguliwa leo. Picha na Chris Mfinanga
"