Adverts

Apr 30, 2011

WATOFAUTIANA KWA KURA MBILI

Hatimaye matokeo ya uchaguzi wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Mbeya umekamilika baada ya kumchagua Bw.Christopher Nyenyembe kuwa Mwenyekiti mpya wa klabu hiyo.

Awali nafasi hiyo ilikuwa ikichukuliwa na Bw. Nico Mwaibale aliyejiuzulu uongozi baada ya kuhamishiwa kikazi katika mkoa wa Tabora..

Katika uchaguzi huo Nyenyembe amepata kura 15 na Luhanga kupata kura 13, huku mgombea mwingine Mpanji akipata kura 1.

Katika hali ambayo ni ngumu, hatimaye uongozi wa Mwenyekiti mpya amerejesha mamlaka kutoka kwa wananchama waamue kutokana na kukosa imani na katibu mkuu kufanya naye kazi.

katika hali hiyo ukumbi ulipoza, baada ya mwenyekiti mpya kutamka hilo kutokana na kutofautiana katika maelezo kati yake katibu na mwenyekiti wa kamati ya Nidhamu hatua ambayo alilazimika kutamka katika maneno yake ya kushukuru na hivyo kurejesha kwa wanachama kumkubali katibu ama kumkataa.

BREACKING NEWS:....NYENYEMBE AREJEA UONGOZI MBEYA PRESS, WAACHANA KWA KURA CHACHE

 Christopher Nyenyembe amechukua tena nafasi ya Uenyekiti wa Mbeya Press club kwa idadi ya kura chache za kuachana, zisizozidi tatu kwa  taarifa za udaku


Uswege Luhanga aliyetoa upinzani mkubwa kwa Christopher Nyenyembe


MBEYA PRESS CLUB HALI YAWA TETE LEO HII

 UKUMBI WA HOTEL YA MBEYA PEACK AMBAO MKUTANO WA WANDISHI WA MBEYA PRESS UNAFANYIKA
 Wajumbe wakiwa makini kusikiliza maelezo ya katibu Bw. Patrick Kossima
 Katibu Kosima akitoa maelezo kwenye mkutano huo, katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi George Chanda  na Bi Sada Matiku wakifuatilia maelezo.





 Mmoja wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti Christopher Nyenyembe akisikiliza maelezo ya msimamizi wa uchaguzi

HAYA NIKUACHE MCHANA HUU NA VITUMBUA VYA SOKO MATOLA!!!


Kwa mtu aliyekaa mbeya na hususani Mbeya Mjini hutasahau vitumbua kutoka kwa Bibi wa SOKOMATOLA, kila mtu anavifahamu vyema namna ladha yake ilivyokuwa, basi huu ni mwendelezo wa bibi wa Vitumbua SOKOMATOLA

WATAIFITI WA UWEZO-TEN MET WAMALIZA MAFUNZO YA KIKANDA

Waratibu wa wilaya na wasaidizi wao wakiwa katika mkao wa pamoja kubadilishana mawazo baada ya kurejea kutoka kwenye tafiti zao za majaribio jana, tayari wamemaliza program hizo na kusambaa wilayani kwa ajili ya kufanya utafiti wa uwezo wa watoto wa umri wa kati ya miaka 7-16 katika kujifunza kusoma, kuhesabu na kutambua.

SAFARI YA UPENDO NCHINI TANZANIA

BANGO HILI utalikuta pale Cathoric Youth Centre Mbeya

HUKU SASA KUNAITWA NONDE

ENZI HIZO watu walikuwa wakitania kuwa ukiishi Nonde, Rejiko nk lazima uwe bachelar! manake yanayoendelea huko wewe utakuwa mtu wa msaada tutani kila siku  bila kujitambua! pia lilikuwa eneo maarufu la kufuga wazee wa kazi nyakati za usiku, lakini sasa kumepoa ile mbaya!

MMEA UNAOTUMIKA KUONDOA SUMU ZA MAJI KATIKA NCHI ZA WENZETU -NEMC MPO

Katika safiri safiri zangu ugenini, wakati fulani nilitembelea mji wa mmoja kusini mwa Afrika ambako kuna viwanda vingi, katika eneo la viwanda yanakotiririshwa maji taka nikaona yamepandwa majani haya kwa umbali wa zaidi ya Kilometa tano kuelekea kwenye mabwawa ya maji taka, lakini maji hayo kabla hayajafika kwenye mabwawa yanapitia kwenye mimea hii, nikaelezwa ni mimie hii hunyonya sumu mbalimbali kama chaakula chake kutoka kwenye maji, nikakumbuka Tanzania kando kando mwa mito mingi hasa mkoa wa Iringa kwa uzoefu mimea hii imekuwa ikiota kando kando mwa mito na unakuta mashina yake yanakuwa meusi sana, ni kwasababu ya kunawiri kwa kula sumu inayotokana na miamba ndani ya maji na taka zingine za sumu!!!!!! someni sana kama hamchangii tafiti kama hizi mnapoteza mudaaaaa!

MTAA WA ITIJI

Mashie maarufu ya kusaga nafaka ya Itiji ambayo kwa wakazi wa eneo hilo huyu ni mkombozi wao

MTAA WA KARUME

Jengo la masister likifuatana na benki ya stanbic-mtaa wa karume

KATIKATI YA JIJI LA MBEYA MTAA WA MBALIZI ROAD

 Kituo maarufu cha mafuta, kinaitwa cha wenye hela-BP kinapakana na benki ya NMB Mbalizi road

TATIZO LA MBEYA NI HIZI TAASISI KUJENGA MAJENGO MAZURI ZIKASHINDWA KUYABORESHA

Jengo la Bima nalo Ovyooo! tangu limejengwa miaka ya tisini halijawahi kupakwa raangi nje  hasa upande huu wa magharibi , mashariki na kusini,

MITAAA YA MBEYA KWA MBAALII

 Hii hapa juu ni Mabatini Original ambapo unakutana pia na kijana wa Samunge B' aliyekuwa anatoa kikombe sasa hivi hasikiki teeeeeena.
 Hii ni mitaa ya forest kuelekea Meta ambapo jengo la BOT ndilo linaloipamba mitaa hiyo kwa mbaaali

Hii ni Meta ukiunganisha na sehemu ya Mabatini, hapa kimsingi hakuna utambulisho rasmi zaidi ya kimlima cha meta

SOMA BIBLIA YA KIAFRIKA

Katika pita pita zangu nimekutana na bilblia ya kiafrika mahala mjini mbeya inauzwa 15,000/= nimeipenda ila nguvu sina unaweza kuchangia ili nisome neno la mungu.

NIMEGUNDUA MBEYA INA GROCERY NYINGI KULIKO MADUKA YA BIDHAA ZINGINE

Hii Baba Enjo Grocery ipo mitaa ya Itiji nyuma ya nyumba za National Housing....

ANGALAU SASA KUNA KA-NDEGE KA- KUKODI MBEYA

Kampuni ya Gazzelie imeanzisha safari za ndege za kukodi (chartered airs)kutoka Mbeya kwenda Dar na Iringa hongera zenu kwa kutupa fulsa hii

Apr 29, 2011

ANGALAU MBEYA HOTEL MMETUWAKILISHA KWA BANGO ZURI

 Mabango haya yapo kando ya barabara ya kuingia katikati ya jiji la Mbeya katika mlima Sokoine stadium.

LENGO NI KUTANGAZA BIASHARA ILA TU TAA ZIMETUANGUSHA

Taa zilizowekwa katika barabara za jiji la Mbeya sasa zimekuwa mapambo kutokana na giza totoro nyakati za usiku, hali ambayo hata makampuni yaliyoingia dili ya kutangaza bidhaa zake usiku kutofaidi makubaliano yao kutokana na bidhaa zao kutoonekana vyema nyakati za usiku kama inavyoonyesha hapa leo usiku wakati mwandishi wa blog alipopita katika barabara hizo



WAFANYAKAZI MAELEZO WAMUAGA CLEMENT MSHANA

KUTOKA



Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Clement Mshana (kushoto) akikabidhiwa zawadi iliyoandaliwa na wafanyakazi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Afisa Habari Mwandamizi Bi. Anna Itenda (kulia)wakati wa hafla fupi ya kumuaga rasmi leo jijini Dar es salaam , Bw. Clement Mshana ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete kuwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) .



Wafanyakazi wa Idara ya Habari(MAELEZO) wakiwa katika picha ya pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Clement Mshana(katikati) mara baada ya hafla fupi ya kumuaga rasmi leo jijini Dar es salaam.


.KILICHOJIRI LEO HARUSI YA KIFALME....UINGEREZA.

ROYAL WEDDING 2011

From a 'commoner' to a Duchess!

Prince William arriving in Westminster Abbey

Prince William and Prince Harry, the best man.

I think they were the best dressed invited guests. David and Victoria Beckham...those Louboutins! Tsk tsk

So beautiful!

Dad walking her down the aisle

Archbishop of Canterbury led the service

Little difficulty getting the wedding band through...

And finally they are out!

They are officially The Duke and Duchess of Cambridge.


THE KISS!!! Beautiful!

"Just Married" Prince William (Duke of Cambridge) leading the way, driving his wife out of the palace
....MALKIA ELIZABETH II AKIWASILI WESTMINSTER ABBEY...!
....DAVID NA VICTOEIA BECKHAM...KAMA KAWA...! ....SIR ELTON JOHN AKIWASILI NA 'MUME WAKE' SHEMEJI DAVID FURNISH...!
....BI HARUSI....KATE MIDDLETON AKIWASILI....! ....BWANA HARUSI....PRINCE WILLIAM AKIWA NA BESTMAN MDOGO WAKE HARRY WAKIINGIA WESTMINSTER ABBEY...!
....TABASAMU PANA....!
....KIAPO CHA NDOA...!
....MKE NA MUME....! ....BAADA YA NDOA WANASEPA PANDE HIZO....!