Adverts

Apr 30, 2011

HUKU SASA KUNAITWA NONDE

ENZI HIZO watu walikuwa wakitania kuwa ukiishi Nonde, Rejiko nk lazima uwe bachelar! manake yanayoendelea huko wewe utakuwa mtu wa msaada tutani kila siku  bila kujitambua! pia lilikuwa eneo maarufu la kufuga wazee wa kazi nyakati za usiku, lakini sasa kumepoa ile mbaya!