Adverts

Apr 29, 2011

LENGO NI KUTANGAZA BIASHARA ILA TU TAA ZIMETUANGUSHA

Taa zilizowekwa katika barabara za jiji la Mbeya sasa zimekuwa mapambo kutokana na giza totoro nyakati za usiku, hali ambayo hata makampuni yaliyoingia dili ya kutangaza bidhaa zake usiku kutofaidi makubaliano yao kutokana na bidhaa zao kutoonekana vyema nyakati za usiku kama inavyoonyesha hapa leo usiku wakati mwandishi wa blog alipopita katika barabara hizo