Adverts

Apr 30, 2011

MITAAA YA MBEYA KWA MBAALII

 Hii hapa juu ni Mabatini Original ambapo unakutana pia na kijana wa Samunge B' aliyekuwa anatoa kikombe sasa hivi hasikiki teeeeeena.
 Hii ni mitaa ya forest kuelekea Meta ambapo jengo la BOT ndilo linaloipamba mitaa hiyo kwa mbaaali

Hii ni Meta ukiunganisha na sehemu ya Mabatini, hapa kimsingi hakuna utambulisho rasmi zaidi ya kimlima cha meta