Adverts

Jun 27, 2011

DODOMA ASUBUHI HII> FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY YAANZA KUJENGA UWEZO WA USIMAMIZI RUZUKU KWA MASHIRIKA 39 NCHINI


Afisa kutoka Foundation for Civil Society Bw. Omary Jechu akizungumza kwenye mafunzo hayo yanayohusisha waratibu wa Mashirika/Miradi na wahasibu wao katika mafunzo ya siku sita ya usimamizi wa fedha za miradi iliyoombwa na  kupitishwa ambapo mashirika 39 kutoka nchini kote yanashiriki. Mafunzo hayo yanafanyika katika hoteli ya Dodoma 




Mmoja wa wawezeshaji wa mafunzo hayo Bi Neema Yobu akizungumza kwenye mafunzo hayo katika ukumbi wa Mazengo




Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakiwa makini kufuatilia yanayotolewa na mwezeshaji ili hatimaye kupunguza kasoro mbalimbali zinazojitokeza katika utekelezaji wa miradi inayofadhiriwa kupitia ruzuku kutoka Foundation for Civil Society