Adverts

Jun 25, 2011

FAMILY HEALTH INTERNATIONAL YAANZA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUIMARISHA AFUA ZA UKIMWI KWENYE MIRADI YA UJENZI WA BARABARA YA TUNDUMA HADI SUMBAWANGA

Moja ya ofisi za Kampuni ya CCC inayojenga barabara Lot 1 kutoka Tunduma hadi Ikana wilayani Mbozi

Baadhi ya wataalamu wa kampuni hiyo wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na maofisa kutoka FHI wakati wa kutoa mrejesho juu ya utekelezaji wa afua za kudhibiti maambukizi mapya kwenye eneo la mradi mradi unaolenga kuikinga jamii na wafanyakzi wa mradi huo


Magari ya Kampuni ya Consolidated Construction Company yakiwa yard
Mfanyakazi wa Kampuni ya CCC akiwasiliana huku akiwa na kitabu cha kurekodi mwenendo wa magari, nyuma yake ni sehemu ya ujenzi wa makazi ya wataalamu wa kampuni hiyo ambao kwa sasa wanaishi hotelini.



Bw. Ipyana kutoka FHI akitoa maelezo namna ambavyo mradi huo umeweza kutekelezwa kwa kipiundi cha kuanzia mwezi Februaly mpaja sasa na changamoto zilizopitiwa wakati wa utekelezaji