Adverts

Jun 28, 2011

HIVI PENYEWE MNAPOSEMAQ DONDOSHA MKONO WA SWETA NDIYO NINI? NYEEE!!!

Bagia za Iringa  unazikumbuka? sasa kampeni ni kudondosha Mkonosweta  yaani kuondoa kofia ya asili kwa wanaume!! aka kutahiri ili kupunguza risk ya maambukizi. Kampeni hii imeshika kasi mkoani humo


Mabango ya HAMASA ya kuwataka wanaume wakaondoe mikono ya sweta bure, tayari mwitikio umekuwa mkubwa kwa umri wa vijana ingawa shida ni kwa wazee wanaonekana kujishauri sana kabla  ya kufanya maamuzi, si unajua masuala haya ni silka na imani