Adverts

Jun 28, 2011

LORI LA SERIKALI MOROGORO HOI LAKINI LIMO BARABARANI

Gari la serikali Mkoani Morogoro likikatiza barabara lakini sura yake huko mbele ni majeraha matupu kiasi cha kuhatarisha usalama barabarani, baada ya safari ya kilometa moja eneo la Kihonda likashindwa kuendelea na safari.