Adverts

Jun 22, 2011

MIAKA 77 YA NDOA MUNGU ENDELEA KUWABARIKI WAZEE HAWA

Mzee Malila na Bibi Malila wakazi wa Kijiji cha Lwanjilo wilayani Chunya wakiwa wamepozi kwenye jubilei ya miaka 75 ya Ndoa yao mwaka juzi kijijini kwao.