Adverts

Jun 25, 2011

TEOFILO KISANJI UNIVERSITY WAZINDUA MAKTABA YAO LEO



Haya ndiyo mazingira ya chuo kikuu cha Teofilo Kisanji kama yalivyoonekana leo hii wakati wa uzinduzi wa maktaba na Ukumbi wa Mikutano, nilikuwa na safari zangu nikakutana na shughuli hii ingawa sikuifuatilia kiundani