Adverts

Sep 29, 2011

KAMPENI YA KUKATA MAGOVI YASHIKA KASI WILAYANI MBOZI

Moja ya mabango yenye ujumbe wa kuhamasisha wanaume kutahiri  ikiwa ni kampeni za halmashauri ya wilaya ya Mbozi katika kupunguza kasi ya maambukizi kwa kuhamasisha wanaume waende jando wilayani humo, kwa ujumla mwitikio umekuwa mkubwa ingawa wananchi wanaomba huduma hizo zipanuliwe na kufika vijijini