Adverts

Sep 20, 2011

MBOWE AUNGURUMA IRINGA MJINI AIWEKA NJIA PANDA CCM JAPO GANGILONGA APOKELEWA NA WANANCHI KIDUCHU....

MBOWE AUNGURUMA IRINGA MJINI AIWEKA NJIA PANDA CCM JAPO GANGILONGA APOKELEWA NA WANANCHI KIDUCHU....: Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe (kulia) akionyesha ishara ya kumwombea kura mgombea udiwani kata ya Gangilonga jimbo la Iringa mjini Edwin Sambala wakati akijinadi kwa wananchi leo
Mbowe akiwaaga wananchi wa kata ya Gangilonga baada ya kumaliza kumwombea kura mgombea wa kata ya Gangilonga na Kitanzini jimbo la Iringa mjini.
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Chiku Abwao akiwaombea kura wagombea udiwani wa Chadema kata ya Gangilonga na Kitanzini leo
Mgombea udiwani wa kata ya Gangilonga Edwin Sambala akimsikiliza mwenyekiti wake taifa Mhe.Mbowe
Mgombea udiwani kata ya Kitanzini Gervas Kalolo
Wananchi wa kata ya Gangilonga na Kitanzani waliofika katika mkutano wa Chadema kata ya Gangilonga wakigombea kumsalimia Mbowe leo Gari la Mbowe likisindikizwa na mashabi eneo la Kitanzini leo
Wananchi wa kata ya kitanzini na kata mbali mbali za manispaa ya Iringa wakiwa katika mkutano wa Chadema leo
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe.Mbowe kati kati na mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi akiwa na katibu wa Chadema wilaya ya Iringa mjini Susana Mgonakulima
Wananchi kiduchu wa kata ya Gangilonga wakimsikiliza Mbowe leo
Wadau wa mziki pia wakimsikiliza Mbowe na MR.Sugu leo