Adverts

Sep 23, 2011

Rais Kikwete akisalimiana na kiongozi wa serikali ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa serikali ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil jijini New York ambako wote wanahudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa serikali ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika maongezi mafupi na kiongozi wa serikali ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtabulisha Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mh Ombeni Sefue kwa kiongozi wa serikali ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil .Picha na Ikulu Mawasiliano.