Adverts

Sep 16, 2011

SOKO LA MWANJELWA LAUNGUA NA KUTEKETEA

Hii ndiyo hali ya soko la MWANJELWA ilivyokuwa ambapo mali za mabilion zimeeendela kuteketea huku zimamoto wakishindwa kupitisha magari kuzima moto huo
Hapa ndiyo kila kitu kimeteketea kabisa

Watu wakijaribu Kuokoa mali zilizokuwa madukani lakini ulinzi ukiimarishwa

Gari la ZIMAMOTO jijini Mbeya likitafuna

Moto ukiteketeza moja ya mabanda ya eneo hilo

Hali ilikuwa tete

Mama huyu akioneana kuchanganyikiwa wakati jengo la duka lake likiungua moto

Umati wa watu wakiwa wamejikusanya kufanya matukio kwenye eneo la maafa, hawa siyo wote wanataka kuokoa mali

Ulinzi wa Pikipiki ulianza kukumbana na mvua ya mawe kutoka kwa wananchi al maarufu kama vibaka

Maafa makubwa watu wamepoteza mitaji yao kwa mara ya pili tena

Hawa sio wamiliki wa maduka bali ni wanufaika na maafa wakivusha bidhaa zilizotoka madukani

wingu kubwa la moto likionekana kwa mbali eneo la sido mwanjelwa ambako maduka mengi yameteketea leo asubuhi