Adverts

Oct 25, 2011

X Plastaz launching new video ‘Africa’ featuring Fid Q & Bamba Nazar (Amsterdam/Arusha, October 25, 2011)

'Africa', the new single and music video by Tanzanian hip hop group X Plastaz, will be released on November 1st, 2011. The highly anticipated song features the vocals of Fid Q, one of Tanzania's most respected hip hop artists, and legendary producer/vocalist Bamba Nazar (aka Dj Threesixty).
The message in the song about the need for peace and unity in the continent of Africa is complemented by the semi acoustic music and especially by the visuals in the music video. 'Africa' was shot in different parts of Tanzania: Unguja (Zanzibar), the island off the Tanzanian coast, and Arusha, the city where X Plastaz live. Highlights include a scene shot around an uninhabited island off the East African coast, another part recorded inside the remote ruins of a palace built by the daughter of Zanzibar's sultan in the 1800's, and Arusha's Maasai market.
Just like in the video to 'Nini dhambi kwa mwenye dhiki' (which is the most viewed East African hip hop video on Youtube with close to a million views), the display of Tanzania's natural wealth is in stark contrast with the human misconduct discussed in the lyrics - X Plastaz are showing a stunningly beautiful, peaceful and harmonious Africa.
'Africa' features X Plastaz members Kamaa aka Steve, Diney. For this song they teamed up with Fid Q, one of Tanzania's most successful hip hop artists and a strong supporter of conscious lyrics, and Bamba Nazar, who has toured and recorded with X Plastaz since 2003. Bamba also did the beat for the X Plastaz classic 'Nini dhambi kwa mwenye dhiki' and he produced the latest singles by Def Jam artist Redman (USA).
Also seen in this video are Yamat aka Merege (X Plastaz' Maasai singer) and new X Plastaz member Maria. The track was produced by dj Threesixty (Bamba Nazar) and the video was shot and edited by J4 (Thomas Gesthuizen) for Rumba-Kali.
X Plastaz: Maasai Hip Hop from Arusha, Tanzania X Plastaz from Arusha have been together since 1996. Their first single 'Bamiza' became a hit all around East Africa in 1999 and the first album 'Maasai hip hop' was released in 2004 by German label Out Here records, to much critical acclaim. The group of five rappers and a Maasai singer performed abroad on several occasions, including Holland, UK, Brazil, Belgium, Gabon, but their base is still Arusha in northern Tanzania.
X Plastaz songs have been used in a Landrover campaign and in an MTV show, were featured on several compilations including the 'Rough Guide to African Rap' and their music videos are played on Channel O, MTV Base and other pan-African channels. Recent hits by X Plastaz include 'Furaha' (another collabo with Fid Q), ‘Bang Bang’ by X Plastaz member Ziggylah who lives in Sweden, and 'Maasai reggae', a tune that is currently receiving a lot of airplay in Nairobi, Kenya. X Plastaz fan page: http://facebook.com/xplastaz Official website: http://www.xplastazmusic.com Fid Q: http://www.facebook.com/FidHop Bamba Nazar: http://www.blackstereo.tv

waliokiuka maadili ya CCM kukiona,kikao kijacho tunakuja na maamuzi mazito-nape.

:

furaha sumalu aongelea channel 127 ya DSTV

furaha sumalu aongelea channel 127 ya DSTV:
Kwa takribani miezi minne sasa,watanzania na watu wote wanaoongea au kutumia lugha ya Kiswahili wamekuwa wakiburudika na kuelimika kupitia channel mpya kabisa ndani ya DSTV inayokwenda kwa jina Africa Magic Swahili inayopatikana katika namba 127.
Hivyo hutokosea ukiamua kuiita Channel 127 ya DSTV.Kama bado hujapata fursa ya kutazama Channel 127,nakushauri ufanye hivyo leo hii. Nini kilipelekea kuanzishwa kwa Channel hiyo ambayo kila kukicha inazidi kujipatia umaarufu?
Inawasaidiaje wasanii wa tasnia ya filamu katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati katika kutimiza malengo yao na kupanua soko lao?Je,utaratibu wa kuingiza filamu yako katika Channel hiyo kama wewe ni muundaaji,muongozaji au msanii wa filamu ukoje?
Ili kupata majibu kwa maswali hayo na mengineyo,nilimtafuta Meneja Masoko wa DSTV-Tanzania,Furaha Samalu(pichani). Huko mbele kuna maswali niliyomuuliza na majibu kutoka kwake.

TFF Yamwengua Michael Wambura Kugombea Uenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mara

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Soka T anzania (FAT), sasa TFF,Michael Wambura akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kabla ya Kikao cha Kamati ya Uchaguzi ya TFF, kumwengua usiku huu(jana) kugombea uenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mara, kwa madai kwamba si mkazi wa mkoa huo.Picha na Richard Mwaikenda

VIINGILIO SIMA NA YANGA VYATAJWA...

Viingilio vya pambano la Yanga na Simba litakalofanyika Oktoba 29 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom vitakuwa kama ifuatavyo. Viti vya kijani na bluu kiingilio kitakuwa sh. 5,000, viti vya rangi ya chungwa ni sh. 7,000, VIP C sh. 10,000, VIP B ni sh. 15,000 wakati VIP A itakuwa sh. 20,000. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepanga kuuza tiketi hizo siku moja kabla ya mchezo na siku yenyewe ya mechi katika maeneo ambayo yatatangazwa baadaye. Mwamuzi wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Oden Mbaga kutoka Dar es Salaam ndiye atakayechezesha mechi namba 78 ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Yanga na Simba itakayofanyika Oktoba 29 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Waamuzi wasaidizi katika mechi hiyo ambao wote wanatambuliwa na FIFA ni Hamis Chang’walu wa Dar es Salaam ambaye atakuwa namba moja, na John Kanyenye (Mbeya) atakayekuwa namba mbili. Mtathimini wa waamuzi (referee assessor) atakuwa Soud Abdi kutoka Arusha wakati kamishna wa mchezo huo ni Mohamed Nyange kutoka Dodoma. fullshangwe.blogspot.com

Mhe. Kikwete Akabidhiwa NBC Debt Master Card

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akionyesha kadi yake mpya ya NBC Debit Master Card mara baada ya kukabidhiwa na maofisa wa Benki ya NBC Ikulu, Dar es Salaam hivi karibuni. Kadi ya NBC Debit Master Card ilizinduliwa na benki hiyo Oktoba 18 mwaka huu. Kutoka kushoto ni, Meneja wa Tawi la Corporate Bi. Jacqueline Sindano Mkuu wa Shughuli za Kibenki wa NBC, William Kallaghe na Mwakilishi wa Mauzo, Emmanuel Mseti.
Ris Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akijaza fomu ili kupata kadi mpya ya Debit Master Card ya Benki ya NBC Ikulu, Dar es Salaam hivi karibuni. Kadi ya NBC Debit Master Card ilizinduliwa na benki hiyo Oktoba 18 mwaka huu. Wanaomsaidia Rais kutoka kushoto ni, Meneja Tawi la Corporate Bi. Jacqueline Sindano, Mkuu wa Shughuli za Kibenki, William Kallaghe na Mwakilishi wa Mauzo, Emmanuel Mseti.
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mkuu wa Shughuli za Kibenki wa NBC, William Kallaghe na baadhi ya maofisa wa benki hiyo waliokwenda Ikulu, Dar es Salaam hivi karibuni ambako walimkabidhi kadi mpya ya NBC Debit Master Card. Kushoto ni Mwakilishi wa Mauzo, Emmanuel Mseti na Meneja wa Tawi la Corporate, Jacqueline Sindano.

SHUKRANI TOKA MISS JESTINA GEORGE BLOG

SALAM, Napenda kutoa shukurani zangu za pekee kwa Mwenyezi Mungu, Familia yangu, Marafiki zangu, mashabiki wangu, wadau na watanzania wote kwa ujumla walioweza kunipigia kura ambazo zimefanikisha blog ya MissJestinaGeorge kuibuka kidedea na kunyakua ushindi mkubwa wa kuwa ''BLOG BORA YA MWAKA 2011'' katika tuzo za BEFFTA zilizofanyika nchini UK mapema wiki iliyopita. Mchakato mzima wa kumtafuta mshindi ulikuwa na changamoto lukuki ukizingatia ya kwamba kulikuwa na jumla ya blogs 15 za kimataifa kutoka nchi mbali mbali Duniani. Kutokana na ushirikiano wenu mzuri mmeiwezesha blogu yetu kupata ushindi mnono na vile vile kunipatia fursa nzuri ya kuiwakilisha vyema Tanzania Ughaibuni. Ni vigumu kumshukuru kila mtu mmoja mmoja kwa mchango wenu uliosadia kuwezesha blog yetu kunyakua ushindi mkubwa ingawa ningependa kuwatambua wafuatao: kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu zote za dhati kwa timu ya URBAN PULSE CREATIVE kwa mchango wao mkubwa waliotoa, wanachama wenzangu wa AMTTA (Amka Mwanamke Twende Tujikomboe Afrika) kwa kuwa na mimi bega kwa bega nawapenda sana. Pia natoa shukrani kwa Bloggers wenzangu wote, tovuti mbalimbali, TONE RADIO popote pale walipo kwa michango yenu. Nawasihi sana tuendelee kushikamana, kupendana na Kusaidiana kwa hali na mali ili isiwe tu kuleta maendeleo nchini kwetu bali pia kupeperusha bendera ya nchi yetu Tanzania Duniani kote. Napenda kuitoa wakfu tuzo hii kwa dada yangu mpendwa Kissa George aliyetutoka ''I miss you so much Sis'' najua kama angekuwa hai angefurahia sana. Mwisho namshukuru sana binti yangu Iman ambae amekuwa nguzo na muhumili mkubwa katika maisha yangu kwa kunipatia nguvu za kuendelea mbele siku hadi siku. Binadamu kushukuru ni wito ila leo umekuwa ni wajibu wangu. Asanteni sana, Mungu awabariki sana na ninawapenda sana Jestina George

AJALI YA BASI YATOKEA BARABARA KUU YA MOROGORO

basi la kampuni ya Delux likiwa limetekekea kabisa baaa ya ajali mbaya inayodaiwa kuchukua maisha ya waTanania wengi kutokea mchan wa leo katika barabara ya Moro Dar. Basi hilo lilikuwa linaelekea Mkoani Dodoma likitokea Jijini Dar es salaam.

JUST IN: AJALI YA BASI YATOKEA BARABARA KUU YA MOROGORO

JUST IN: AJALI YA BASI YATOKEA BARABARA KUU YA MOROGORO:
KUNA HABARI KWAMBA KUNA BASI LA ABIRIA LIMEPATA AJALI KATIKA BARABARA KUU YA MOROGORO MUDA MFUPI ULIOPITA. TUNAFUATILIA AJALI HII AMBAYO MTUMA PICHA ANAENDELEA KUTAFUTA KILA JIBU IKIWA NI PAMOJA NA MAHALI PIA MADHARA.ILA ONAONESHA BASI HILO LIMETEKETEA KWA MOTO

Miracle as two-week-old girl is plucked naked from Turkey earthquake rubble... and rescuers dig mother out alive hours later

A 14-day-old baby girl was today pulled alive from the shattered ruins of a building in the city of Ercis in earthquake-ravaged Turkey - after 47 hours trapped in the rubble.
Azra - her name means 'Help' in Hebrew - was found naked, making her survival all the more remarkable because of the freezing temperatures gripping the region. The baby was handed to rescuers by her mother, who was alive but still trapped in the wreckage.
Emergency workers cradled the fragile child with enormous care as they scrambled over the rubble and debris to get her to a a medical unit. The rescue gives hope to hundreds in both Ercis and Van that loved ones still missing after Sunday's 7.2-magnitude earthquake may be alive.
Amazing survival story: Baby Azra - 14 days old, naked and trapped in a collapsed building for 47 hours - is rushed to a waiting medical unit in Ercis, Turkey Amazing survival story: Baby Azra - 14 days old, naked and trapped in a collapsed building for 47 hours - is rushed to a waiting medical unit in Ercis, Turkey
'Help': A doctor carries Azra, whose name means 'Help' in Hebrew, away from the ruins this morning. Her rescue gives hope to others whose loved ones remain missing'Help': A doctor carries Azra, whose name means 'Help' in Hebrew, away from the ruins this morning. Her rescue gives hope to others whose loved ones remain missing
Double delight: Rescuers finally release the mother after plucking the baby from her arms
Double delight: Rescuers finally release the mother after plucking the baby from her arms
Tens of thousands of people spent a second night under canvas, in cars or huddled round small fires in towns rattled by aftershocks from a massive earthquake in eastern Turkey that killed hundreds.
The death toll from Sunday's quake rose to 366 overnight, and hundreds more are still missing after the quake and more than 200 aftershocks. Casualties were concentrated so far in the town of Ercis and the provincial capital Van, with officials still checking outlying areas. Seven people were rescued overnight.
Freed: Rescuers free a teenager from a collapsed building in Ercis. Mesut Ozan Yilmaz, 18, who survived for 32 hours under the rubble of a tea house, said it was like 'the judgement day'Freed: Rescuers free a teenager from a collapsed building in Ercis. Mesut Ozan Yilmaz, 18, who survived for 32 hours under the rubble of a tea house, said it was like 'the judgement day'
Cutting through: Rescue workers spent a second night cutting and digging their way through shattered buildings in the hope of freeing survivors
Cutting through: Rescue workers spent a second night cutting and digging their way through shattered buildings in the hope of freeing survivors
Under the stars: Homeless residents of Ercis sit around a fire Rescuers work on the ruins in Van province of Turkey
Tale of two cities: Residents of Ercis, made homeless by the quake, sit around a fire as lights illuminate a damaged building behind them, while rescuers dig their way into a collapsed building in Van
Young survivor: A boy cries after being pulled from the remains of an internet cafe in Ercis. While the toddler sustained minor injuries, others in the cafe were not as lucky Young survivor: A boy cries after being pulled from the remains of an internet cafe in Ercis. While the toddler sustained minor injuries, others in the cafe were not as lucky
Fighting for life: A young girl in a serious condition is cradled by a rescue worker as he runs toward a waiting ambulance
Fighting for life: A young girl in a serious condition is cradled by a rescue worker as he runs toward a waiting ambulance
Crowds of residents gathered around collapsed buildings in the city, falling into an eerie silence as each person strained to hear even the faintest signs of life under the crumbled concrete and twisted steel.
The Disaster and Emergency Administration said 1,301 people had been injured and 2,262 buildings had collapsed.
The Turkish Red Crescent distributed up to 13,000 tents, and was preparing to provide temporary shelter for about 40,000 people, although there were no reliable estimates of the number of people left destitute.
The relief agency was criticised for failing to ensure that some of the most needy, particularly in villages, received tents as temperatures plummeted overnight.
Ahmet Arikes, the 60-year-old headman of Amik, a village outside Van that was reduced to rubble, said: 'We were sent 25 tents for 150 homes. Everybody is waiting outside, we've got small children, we've got nothing left.'
Television images showed desperate men pushing each other roughly to grab tents from the back of a Red Crescent truck. Read more>>

DKT BILAL AKAGUA BANDA LA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA MWASILIANO WA KIMATAIFA GENEVA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tanzania Youth Alliance (TAYOA), Peter Masika, wakati akitazama mashine ya mawasiliano (ICT Mobile Booth), iliyotengenezwa na vijana wa TAYOA, wakati akikagua banda la maonyesho la Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU) uliofanyika Geneva, Switzerland Oktoba 24, 2011.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia mfumo wa kuwasiliana kwa masafa (tele-conference) katika Banda la HUWAWEI, wakati akitembelea mabanda mbalimbali yaliyopo katika maonyesho ya ITU, jijini Geneva, Switzerland Oktoba 24, 2011.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Uhuru One, Mihayo Wilmore, kuhusu matumizi rahisi ya kompyuta ndogo na mpango wa kuzisambaza na kuwawezesha wanafunzi wa Tanzania kutumia kompyuta hizo, wakati wakati akikagua banda la maonyesho la Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU) uliofanyika Geneva, Switzerland Oktoba 24, 2011.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Naibu Mkurugenzi wa Kanda (TCRA), Victor Nkya, wakati akikagua banda la maonyesho la Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU) uliofanyika Geneva, Switzerland Oktoba 24, 2011.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa kuhusu Teknolojia ya mawasiliano, wakati alipotembelea Banda la maonyesho Burundi,katika Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU) uliofanyika Geneva, Switzerland Oktoba 24, 2011.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkuu wa Mawasiliano wa Kampuni ya Qatar Assistive Technology Center, Ahmed Habib, ambaye ni mlemavu, wakati alipotembelea Banda la maonyesho la kampuni hiyo katika Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU) uliofanyika Geneva, Switzerland Oktoba 24, 2011.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Tanzania Network Information Center, Eng. Abibu Ntahigaye, wakati akikagua banda la maonyesho la Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU) uliofanyika Geneva, Switzerland Oktoba 24, 2011.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tanzania Youth Alliance (TAYOA), Peter Masika, kuhusu namna ya kuwawezesha vijana kutumia teknolojia ya mawasiliano ya kompyuta, wakati akikagua banda la Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU) uliofanyika Geneva, Switzerland Oktoba 24, 2011. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal ameiwakilisha Tanzania katika mkutano wa ITU (International Telecommunication Union) unaohusu wajibu nchi katika dhana ya mawasiliano unaofanyika jijini Geneva.
Makamu wa Rais ambaye ameambatana na wadau wa masuala ya mawasiliano kutoka Tanzania, sambamba na kushiriki kutoa mada katika mjadala unaohusu ‘Utandawazi na Dunia kuwa kijiji’ mjadala ambao pia umewashirikisha Balozi Philip Verveer wa Marekani, Waziri Mkuu wa Rwanda, David Kanamugire, Naibu Waziri Mkuu wa Bahrain, Shaikh Ali Bin Khalifa Al Khalifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Senegal Alassane Dialy Ndiaye na kusimamiwa na Mtangazaji wa CNN, Becky Anderson, ametumia fursa hiyo kuuelezea ulimwengu juu ya fursa zinazotokana na Tanzania kuwekeza katika mkongo wa intaneti chini ya bahari ya Hindi ambao kwa kiwango kikubwa umetanua urahisi wa mawasiliano kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki na Kusini.
Kupitia mkongo huo, nchi jirani zitarahisisha mawasiliano yake ya Intaneti kupitia Tanzania na taifa litanufaika na gharama za malipo kutoka katika nchi hizo. Malawi ni moja ya nchi ambazo tayari zimeonyesha nia ya kutaka kuunganishwa haraka.
Makamu wa Rais pia amezungumzia ukuaji wa mtandao wa simu ambapo sasa Tanzania kuna kadi za simu milioni 12 ambazo zimesajiliwa na kufafanua kuwa licha ya kuwa idadi inaongezeka katika matumizi ya teknolojia, bado upo uwanda ambao haujatumika hivyo wawekezaji wanakaribishwa sana kuwekeza huku wakifahamu Tanzania ni nchi ya amani na yenye fursa nyingi sambamba na kuwa na watu walio wepesi wa kupokea mabadiliko.
Tanzania inalo banda la maonyesho hapa katika uwanja kunakofanyika mkutano huu wa ITU, banda ambalo linasimamiwa na TCRA, sambamba na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Wizara ya Afya ambao wanelezea namna Tanzania inavyoweza kutoa huduma za afya kwa kutumia teknolojia ya ICT, wahamasishaji vijana kuhusu ugonjwa wa Ukimwi TAYOA na UhuruOne ambao wanajihusisha na utoaji huduma za kielektroniki katika shule mbalimbali sambamba na usambazaji wa vifaa kama kompyuta.
Katika hatua nyingine, Tanzania inaonyesha namna inavyojiandaa kuondokana na mfumo wa urushaji matangazo sambamba na kutoa masafa kwa analojia kuelekea digitali, hali ambayo itaongeza uhuru mkubwa kwa watumiaji sambamba na kuwa na fursa nyingi za kupata matangazo kwa wananchi.
Mfumo huu unahamasishwa na ITU ambayo pia katika mkutano wa mwaka huu, inahamasisha kuhusu namna njema ya kutumia changamoto zinazotokana na magunduzi ya Brodabendi (Broadband) mfumo unaoongeza kasi ya matangazo ya sauti, data na video katika intaneti.
Mkutano huu wa ITU unafanyika huku Tanzania na dunia ikiwa katika mpango wa kumaliza kabisa mfumo wa analojia ifikapo mwaka 2015. Katika Afrika Mashariki, nchi ya Kenya inaonekana kuongoza kufuatia kuwa tayari na sera ya kuingiza mfumo wa kidigitali lakini hali nchini Tanzania kwa mujibu wa TCRA iko juu na inawezekana kabisa kuwa mfumo huo ukawa umefika maeneo yote nchini kabla ya kuzimwa rasmi na Bodi ya dunia.
Katika mkutano huu pia yupo Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Mbarawa Mnyaa ambaye amehudhuria mikutano kadhaa kwa ngazi ya mawaziri huku akinadi fursa zilizopo katika wizara yake kwa wawekezaji sambamba na kubadilishana uzoefu kuhusu makuzi ya ugunduzi katika sayansi, teknolojia namawasiliano.
Kwa upande wake Makamu wa Rais Dkt. Bilal pia amepata fursa ya kutembelea mabanda ya maonyesho ya nchi jirani kama Rwanda, Kenya, Malawi, Ghana, China, Uganda na Burundi.
Katika mabanda hayo Makamu wa Rais alijionea na kupata taarifa juu ya umuhimu wa mkongo wa Tanzania unaoziunganisha nchi za Afrika Mashariki na Kati katika kupata huduma za Intaneti kwa gharama nafuu na pia umuhimu wake katika kuingiza pato kwa Tanzania.

UFARANSA KUISAIDIA KENYA KUPAMBANA NA AL SHABAAB

Ufaransa itatoa msaada wa vifaa kwa majeshi ya Kenya yanayopambana na wanamgambo wa kiislamu katika mpaka na Somalia, msemaji wa jeshi la Ufaransa alisema. Kanali Thierry Burkhard alisema ndege za Ufaransa zitasafirisha vifaa vya kijeshi kwa askari wa Kenya karibu na mpaka wa Somalia. Taarifa zinazohusianaKenya, Somalia, Ghasia, alshababRais wa Somalia Sheikh Sharif Ahmed amelaani hatua ya Kenya kuingia Somalia kwa minajil ya kupambana na kundi la al-Shabab. Kanali Burkhard amekana madai ya jeshi la Kenya kwamba meli ya kivita ya Ufaransa ilishambulia mji mmoja wa Somalia siku ya Jumamosi. Dhamira ya KenyaKanali Burkhard alisema harakati za Ufaransa "zina upeo mdogo", shirika la habari la AP limeripoti. Alisema kutashuhudiwa kwa ndege za Ufaransa zikisaidia jeshi la Kenya kusafirisha vifaa vya kijeshi kutoka mji mkuu, Nairobi, kwenye uwanja wa ndege karibu na mpaka wa Somalia. Siku ya Jumapili, msemaji wa jeshi la Kenya Meja Emmanuel Chirchir aliliambia shirika hilo la habari kwamba jeshi la majini la Ufaransa lilishambulia kwa mabomu mji wa Kuda katika pwani ya Somalia. Kanali Burkhard alikana madai hayo, akisema Ufaransa haina meli za kijeshi eneo hilo. Wiki iliyopita, al-Shabab lilipoteza udhibiti wa mji wa Ras Kamboni baada ya mashambulio yaliyofanywa na jeshi la majini la Kenya na wapiganaji wa eneo hilo. Kenya ilipeleka majeshi yake Somalia Oktoba 16 kulishambulia kundi la al-Shabab, ikisema imetishia utulivu wa nchi hiyo. Nairobi imelishutumu kundi hilo kwa kuhusika na utekaji nyara Kenya, ikiwemo ya mwanamke wa Kifaransa, Marie Dediieu, Oktoba 1. Bi Dedieu, aliyekuwa na saratani, alifariki dunia Somalia wiki iliyopita. Al-Shabab lilikana kuhusika na utekaji nyara huo.

Oct 17, 2011

Ivi kuna hasara gani ukifanya haya

Wanaume sometimes tunakuwa wabishi na tunashikiria mambo fulani ambayo hata hayana maana. Tuna poteza vionjo kidogo kidogo na siku tunajikuta kwenye ndoa zenye zero gravity bila hata wenyewe kujua inakuaje. Si wote najua kuna watu wanafanya kazi yao vizuri hata wake zao wanawahitaji 24 hrs. Mume akisafiri mke hana raha, akichelewa hata kama aetoa taarifa bado hata lala hadi arudi. Fikiria majibu yako ktk maswali yafuatayo na kama hata nusu ni siyo kazi ipo. naweza kua nakosea kwa malezi niliyo ppewa lakini ukweli utajulikana. 1. Ni mara ngapi umemwamusha mkeo kwa busu asubuhi?? 2. Ni mara ngapi umefua nguo yoyote ya familia iwe ya mtoto au ya mkeo, najua upo buse lakini mbona baa hukosi?? 3. Ni mara ngapi mkeo akikukuta nyumbani umewahi mpokea walau beg lake tuu?? 4. Ni mara ngapi umemtukana mkeo au umedharau bele ya watoto au hadi majirani wanajua?? 5.Ni mara ngapi ummemsaidia mkeo hata kusogeza kisu jikoni wengine hata wajawazito wanafanya kazi wakati jamaa anacheck manunited?? 6. Ni mara ngapi umekaa na wanao kuwambia habari nzuri za mkeo?? 7. Ni mara ngapi umeshiriki usafi wa nyumbani?? Tusiwalaumu wanapo kosea, tuwaonye kwa upole na kuogopa. Watatuheshimu kupita upepo. Attachment 39332
kutoka jamii forums
Attached Images