Adverts

Oct 9, 2011

KAMA NDIYO KAZI HIVI, BORA NIRUDI SHAMBA

Mafundi wakiwa kwenye moja ya maduka ya wadosi jijini Mbeya wakining'ia kwa hofu wakati wakipaka rangi kwenye kuta za majengo ya uhindini!!