Adverts

Oct 25, 2011

TFF Yamwengua Michael Wambura Kugombea Uenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mara

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Soka T anzania (FAT), sasa TFF,Michael Wambura akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kabla ya Kikao cha Kamati ya Uchaguzi ya TFF, kumwengua usiku huu(jana) kugombea uenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mara, kwa madai kwamba si mkazi wa mkoa huo.Picha na Richard Mwaikenda