Adverts

Nov 30, 2011

New Call for Scholarships at the Erasmus Mundus Program for Students and Scholars




NEW CALL FOR SCHOLARSHIPS AT THE ERASMUS MUNDUS PROGRAM

WOP‐P ‐ Master on Work, Organizational and Personnel Psychology (2012‐2013)

(SCHOLARSHIPS FOR STUDENTS AND SCHOLARS)

Take advantage of this opportunity and join the Master on Work, Organization and Personnel Psychology (WOP‐P). Now you can study the whole program in English!

New...



This is a summary only! Click on the title for the whole post.

TIMES RADIO FM YAZALIWA UPYA LEO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa akielezea historia na mafanikio ya kituo hicho, wakati wa hafla ya kukitambulisha upya kituo hicho, Dar es Salaam jana.Kituo hicho kilichoanzishwa mwaka 2000, hivi sasa kinaongoza kusikilizwa na watu wengi katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiy, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro, Dar es Salaam.


Mmoja wa watangazaji wa Times Radio FM, Ali Masoud 'Kipanya' akiongoza hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa (katikati), akiwa na aliyemwakilisha mgeni rasmi, Sihaba Nkinga (wa pili kulia) pamoja na baadhi ya wageni waalikwa.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, SihabaNkinga akihutubia kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo, Emmanuel Nchimbi, wakati wa hafla hiyo.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa (kulia) akigana na Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga baada ya hafla hiyo kumalizika.

PINDA AZUNGUMZIA MCHANGO WA SHULE ZA WAZAZI KATIKA KUTOA WASOMI NCHINI

Waziri mkuu Mizengo Pinda akihutubia katika kilele cha maadhimisho ya miaka 56 ya jumuiya ya wazazi Tanzania na maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru jijini mbeya
Baadhi ya wazazi na waalimu wakipita mbele ya mgeni rasmi
Wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoa wa mbeya wakipita mbele ya mgeni rasmi
kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog.

PINDA ATUA MBEYA AZUNGUMZA NA WAZAZI MAADHIMISHO YA MIAKA 56

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akimpokea Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara alipowasili uwanja wa ndege wa Mbeya leo asubuhi.
Mkuu wa shule ya sekondari ya Wazazi Meta Renatus Njegite akimkaribisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika shule yake leo asubuhi.
Waziri Mkuu akipanda mti wa kumbukumbu katika shule ya sekondari ya Wazazi META
Waziri Mkuu Pinda akizinfua jengo la Maabara ya Kemia katika shule ya sekondari ya Wazazi meta leo asubuhi.
Waziri Mkuu Pinda akimsikiliza mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya META katika maabara ya Kemia leo asubuhi.
Waziri Mkuu Pinda akipata maelekezo kutoka kwa wanafunzi wa sekondari ya META katika chumba cha maabara ya Kemia.
Waziri Pinda akisalimiana na wananchi alipowasili uwanja wa ndege Jijini MBEYA hapa akisalimiana na Bwana Charles Mwakipesile Mwandishi wa habari jijini Mbeya
Hapa ni ofisa kutoka ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Mbozi Bwana Msangi akisalimiana na Mh Pinda mara alipowasili jijini Mbeya jioni ya leo
Kwa hisani ya Mkwinda Blog

JERRY MURO ALIPOACHIWA HURU LEO NA MAHAKAMA YA KISUTU

Jerry Muro na mke wake wakitoka mahakamani mara baada ya kuachiwa huru leo.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imewaachia huru kwa mashitaka yote matatu yaliyokuwa yakiwakabili aliyekuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Jarry Muro na wenzake wawili.
Hakimu Frank Moshi, alisema anawaachia washitakiwa hao kwasababu upande wa mashitaka umeshindwa kuthibitisha mashitaka dhidi yao pasi shaka.
Muro, Edmond Kapama pamoja na deogratius Mgasa walikuwa wakikabiliwa na kesi ya kuomba na kutaka kupokea rushwa ya Sh milioni 10 toka kwa aliyekuwa Muhasibu wa Wilaya ya Bagamoyo Michael Wage.
Mashitaka yao yalikuwa ni ya kula njama, kuomba rushwa na kujitambulisha maafisa wa TAKUKURU shitaka linalowakabili Mgasa na kapama.
Muro baada ya kutoka mahakamani alitangaza kwa wanahabari kuwasamehe wabaya wake wote ambao ni viongozi wa serikali baadhi na baadhi ya maafisa wa polisi na kuwataka waandishi wa habari kushikamana kuendelea kuibua uozo unaoendelea bila woga.
Katika hukumu, hakimu Moshi alisema baada ya kuangalia ushahidi mahakama ilikuwa na maswali ya kujiuliza kama upande wa jamuhuri uliweza kuthibitisha mashitaka dhidi ya washitakiwa ambapo shitaka la kula njama kwa nia ya kuomba rushwa ambalo linawahusu washitakiwa wote, ushahidi ulikuwa wa Wage.
Shahidi huyo wa tatu wa jamuhuri lisema alikutana na Muro kwenye mgahawa wa Califonia ambapo mawasiliano kati yao yaliendelea kwa njia ya simu ya mkononi.
Ushahidi huo ulikuwa hafifu kwasababu upande wa mashitaka haukuweza kuwasilisha karatasi ya mawasiliano kati yao kutoka kwenye kampuni ya mtandao wa simu (printout).
Vile vile alisema picha za CCTV iliyowasilishwa mahakamani ilikuwa ni kivuli kisichoonyesha sura za watu badala yake wangeleta CD kuonyesha kwenye video ili watu waweze kutambulika kwa urahisi.
Mawasiliano ni jambo la msingi kwasababu ili kula njama ni lazima mawasiliano yafanyike hivyo kuna mapungufu makubwa katika shitaka hilo.
Dereva aliyemwendesha wa Wage alidaiwa kuwa na Wage pale mgahawa wa Califonia walipokutana na Muro, alitakiwa kuletwa athibitishe kama Wage na Muro walikutana upande wa mashitaka hawakumwita shahidi huyo.
Katika shitaka la kuomba rushwa lilowakabili wote katika ushahidi wake Wage, alieleza Muro na wenzake walimtaka awapatie Sh milioni 10 watamsaidia kwenye tuhuma zinazomkabili lakini hakuwa nazo akawapa sh milioni moja mbali na ushahidi huo hakuna ushahidi mwingine wa serikali unaoonyesha kuwa walipokea fedha hiyo.
“Mahakama ilitegemea kuwe na ushahidi wa mawasiliano kama haupo wa kuona lakini hayo yote hayakufanyika,” alisema hakimu Moshi.
Muro alikamatwa ndani ya gari, mahakama haielewi ni kwanini kulikuwa na haraka hiyo kwanini asingeachwa wakakutana na Wage. Kwa upande wa hotel ya Sea Cliff ni sehemu ya watu yoyote anaweza kwenda.
Washitakiwa Mgasa na Kapama hakimu Moshi alisema hawakukamatwa eneo la tukio walikamatwa na kuunganishwa na halikufanyika gwaride la kuwatambua na cheti kuletwa mahakamani.
Shitaka la linalowakabili Mgasa na Kapama la kujitambulisha maafisa wa TAKUKURU mahakama ilisema halikuthibitishwa lina mashaka. Alisema washitakiwa walijitambulisha kwa moja anaitwa Dr na mwingine Musa.
Upande wa mashitaka ulitakiwa kufatilia mtaani kama majina hayo washitakiwa walikuwa wakiyatumia lakini hilo halikufanyika.
“Wage kama msomi ngazi ya uhasibu aliwezaje kukubali mtu ajitambulishe kwa mdomo kama afisa wa TAKUKURU bila kuonyeshwa vitambulisho na akakubali mahakama inapata mashaka”.
Aliongeza hakimu huyo hakuna vielelezo na ushahidi wa kuthibitisha bila kuacha shaka hivyo wanaachiwa huru kwa mashitaka yote.
Alisema Moshi risiti, pingu na miwani havikuwa na mgogoro katika kesi na kwavile vilipatikana kwa risiti basi arudishiwe muhusika na upande unataka kukata rufaa wana ruhusiwa. Wakili kiongozi wa kesi hiyo Boniface Stanslaus alisema taafifa atampelekea Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) ataamua kama watakata rufaa.
Washitakiwa walifikishwa mahakamani Februari 5 mwaka jana kwa mara ya kwanza mbele ya Hakimu mkazi, Gabriel Mirumbe.

UCHAGUZI DRC MWELEKEO HALI NGUMU KWA KABILA

Uchaguzi wa DRC mwelekeo mgumu kwa Joseph Kabila

BREACKING NEWS JERRY MURO ASHINDA KESI

Jery Muro -ameachiwa na mahakama

Kamanda Kova siku akielezea namna Jery alivyokamatwa


Mwandishi wa habari Jery Murro ameachiwa huru baada ya mahakama kutomwona ana hatia kutokana na shitaka la rushwa lililokuwa likimkabili.
Dakika chache akizungumza na TBC amewashukuru wote waliokuwa wakimwombea mema na kwamba ana matumaini kuwa ataendelea kuwatumikia watanzania bila kujali kama ameathiriwa na muda ambao kesi hiyo imekuwepo.

WATU 34 WALAZWA IRINGA KWA KUNYWA TOGWA YENYE SUMU

Watu waliokunywa togwa wakati wa sherehe wakiwa wamelazwa hospital wakipatiwa matibabu
WATU 34 wa kijiji cha mtitu wilaya ya Kilolo mkoani Iringa ikiwemo familia moja ya watu sita wamenusurika kifo na kulazwa katika hospital teule ya wilaya ya Iringa (Hospital ya Ipamba) baada ya kunywa togwa katika sherehe ya kipaimara inayosadikika kuwa na sumu. Tukio hilo lilitokea juzi jumapili katika kijiji hicho cha Mtitu wilaya ya Kilolo wakati watu hao walipofika kusherekea sherehe ya kipaimara cha mtoto Hotmary Mpogole na kupewa kinywaji hicho cha asili kilichotengenezwa kwa unga wa nafaka ya mahindi (togwa) Akielezea juu ya tukio mhanga wa tukio hilo Geofrey Chavala alisema kuwa siku ya tukio aliitwa na rafiki yake wakati akitokea msibani kuwa waelekee katika nyumba hiyo kwa ajili ya kula wali wa sherehe na baada ya kufika walipewa chakula hicho na baada ya hapo walipewa togwa kama kisushio . Hata hivyo alisema wakati akiendelea kunywa alibaini radha tofauti na ile ambayo amepata kuizoea kwa kinywaji kama hicho na hivyo kuonyesha kusitasita katika kuendelea kunywa japo alijitahidi kunywa hadi anamaliza lita moja peke yake. Alisema baada ya kumaliza hali ya hewa tumboni ilibadilika na kujikuta akianza kutapika na kuhara damu hali iliyopelekea kurudi nyumbani na baada ya kufika huo alikutana na bibi yake na kuelezwa kuwa kama amekunywa togwa wenzake wanakusanywa kwa ajili ya kwenda Hospital ndipo alipoungana na wenzake hao. Fedelika Chaula (40) ambaye ni mzazi wa watoto waliokuwa wakifanyiwa sherehe hiyo ya Kipaimara alisema kuwa aliandaa sherehe hiyo kwa ajili ya kuwapongeza watoto wake wawili na kuandaa togwa hiyo kwa ajili ya kunywaji kwa watu walioalikwa katika sherehe hiyo. Hata hivyo alisema kuwa mahindi yaliyotumika kwa ajili ya kuandaa togwa hiyo ni mahindi ambayo wamekuwa wakiyatumia siku zote kwa ajili ya chakula na kuwa anashangazwa na kutumia nafaka hiyo kwa kutengeneza togwa na kupatwa na madhara hayo. Alisema kuwa watoto wake wanne wamelazwa katika hospital hiyo pamoja na yeye mwenyewe kwa kunywa togwa hiyo . Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Mtitu Beatus Kivamba akielezea tukio hilo alisema kuwa awali alikutana na watu wawili wakitoka katika sherehe hiyo huku wakitapika na kuraha kutona na kunywa togwa hiyo na baada ya kuwasiliana na muunguzi wa kituo cha afya Mtitu ndipo alipomthibitishia kupokea wagonjwa zaidi wa tukio hilo . Alisema kutokana na tukio hilo alilazimika kuomba msaada kwa gari kwa Paroko wa Mtitu ambaye alitoa usafiri wa Lori na kuwachukua wagonjwa wote 34 na kuwafikisha katika Hospital hiyo ya Ipamba kwa matibabu. Muuguzi mkuu wa Hospital hiyo ya Ipamba Sr. Julieta Mzena aliwataja waliofikishwa hospital hapo na kulazwa kuwa ni pamoja na watoto zaidi ya watano ambao ni wanafunzi na watu wazima wanaume na wanawake. Aliwataja wahanga hao ambao wamelazwa kuwa ni pamoja na Yudita Ndongoro , Onolata Mhangara, Otineli Mpogole, Sekela Mbilingi, Jafarini Mhulila, Faines Mhulila, Agineli Luvinga, Sofia Mhulila, KIlelia CHongolo, Frolida Mgaya, Geofrey Chawala, Vero Kasuga, Meshack Chaula, Nemia Chaula, Baraka Kivale, Edison Kivale, MUstaphar Mhulila, na Gelion Mpogole. Wengine ni Chelelina Chongolo , Raheli Mgogolo ,Kanisia Chongolo, Diana Chongolo , Chadeta Mlimakizi, Zaina Mpagama, Bile Mtono , Setty Kilave, Nesta Mwofuga,Manwela Mhagala ,Federika Chaula na mtoto Hotmery Mpogole mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi mtitu ambaye ndiye alikuwa ameandaliwa sherehe hiyo ya kipaimara. Alisema kuwa hali za wagonjwa hao zinaendelea vizuri na kuwa tatizo lao inaonekana kula chakula chenye sumu. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Iringa Evarist Mangalla alisema kuwa yupo nje ya ofisi na kikazi na kuwa bado hajapata tarifa na kuahidi kufuatilia zaidi.

If you are a married woman, please don't look...:-)

Please if you are married, remove ya eyes from dia! This is strictly for the single ladies...lol. Hey ladies, you like? *wink* *wink*. They are contestants for the 2011 Mr Tourism Nigeria pageant.

Zimbabwe Women Accused of Raping Men 'For 'Rituals'

The women are accused of collecting the semen in condoms
From BBC News, Harare...
Zimbabwean police believe there is a nationwide syndicate of women raping men, possibly to use their semen for use in rituals that claim to make people wealthy.
It has taken more than a year for any arrests to be made, and on Monday three women are to go on trial in the capital, Harare, over the allegations which have shocked the country.
One alleged victim, who wished to remain anonymous, gave an account on national television in July of his experience which happened after he was offered a lift by a group of three women in Harare.
Alleged male rape victim.
"One of the women threw water in my face and they injected me with something that gave me a strong sexual desire," he said.
"They stopped the car and made me have sex with each of them several times, using condoms. "When they had finished they left me in the bush totally naked. "Some people gathering grass helped me by calling the police, who took me to hospital to deal with the effects of this drug that I had been given, as the urge to have sex was still there." The women due in court have been charged on 17 counts of aggravated indecent assault - as Zimbabwean law does not recognise the act of a woman raping a man. They were detained earlier this month in the central town of Gweru, 275km (170 miles) south-west of Harare, after officers found 31 used condoms in the car that they were travelling in. Read the rest HERE

KUMBUKUMBU> KANALI MAKAYA

Leo tarehe 30/11/2011, baba yetu mpendwa Col. Godfrey Kajana Makaya umetimiza miaka minne tangu ututoke, unakukumbuka sana na familia yako, ndugu, jamaa na marafiki.Tunajua upo nasi kiroho popote ulipo. Mwenyezi Mungu apumzishe roho yako mahala pema.
Amen.

Cain's campaign manager says 'no way he's dropping out' amid new cheating allegation as GOP presidential hopeful plans to outline specifics of 'reassessment' today

Herman Cain's campaign manager has dismissed reports the embattled presidential contender is planning to withdraw from the race.
The Republican businessman dramatically revealed to senior staffers yesterday he is 'reassessing' his campaign amid allegations of a 13-year extra-marital affair - the latest in a series of cheating accusations.
However, Cain’s campaign manager, Mark Block, said the word was meant to imply a 'strategic reassessment' and 'not a reassessment of withdrawing' from the race.
Should I stay or should I go? Herman Cain says he needs to weigh up whether accusations that he had an extramarital relationship will create too much of a cloud in the minds of potential supporters
Should I stay or should I go? Herman Cain says he needs to weigh up whether accusations that he had an extramarital relationship will create too much of a cloud in the minds of potential supporters
Standing by her man: Herman Cain's wife Gloria, who married him in 1968, has been consistent in her support for her husband
Standing by her man: Herman Cain's wife Gloria, who married him in 1968, has been consistent in her support for her husband
As ABC News reports, Mr Block said in an interview yesterday evening there is 'no way he's dropping out'.
The GOP contender 'will lay out his way forward' during a campaign stop in Dayton, Ohio today, Mr Block said.
Cain had reached out to New York Post columnist Cindy Adams to host a gathering at her Park Avenue apartment so that he could meet some of New York’s top journalists and politicians on Sunday, but the event was cancelled in light of the staff meeting. Read more>>