Adverts

Nov 30, 2011

BREACKING NEWS JERRY MURO ASHINDA KESI

Jery Muro -ameachiwa na mahakama

Kamanda Kova siku akielezea namna Jery alivyokamatwa


Mwandishi wa habari Jery Murro ameachiwa huru baada ya mahakama kutomwona ana hatia kutokana na shitaka la rushwa lililokuwa likimkabili.
Dakika chache akizungumza na TBC amewashukuru wote waliokuwa wakimwombea mema na kwamba ana matumaini kuwa ataendelea kuwatumikia watanzania bila kujali kama ameathiriwa na muda ambao kesi hiyo imekuwepo.