Adverts

Nov 30, 2011

PINDA ATUA MBEYA AZUNGUMZA NA WAZAZI MAADHIMISHO YA MIAKA 56

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akimpokea Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara alipowasili uwanja wa ndege wa Mbeya leo asubuhi.
Mkuu wa shule ya sekondari ya Wazazi Meta Renatus Njegite akimkaribisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika shule yake leo asubuhi.
Waziri Mkuu akipanda mti wa kumbukumbu katika shule ya sekondari ya Wazazi META
Waziri Mkuu Pinda akizinfua jengo la Maabara ya Kemia katika shule ya sekondari ya Wazazi meta leo asubuhi.
Waziri Mkuu Pinda akimsikiliza mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya META katika maabara ya Kemia leo asubuhi.
Waziri Mkuu Pinda akipata maelekezo kutoka kwa wanafunzi wa sekondari ya META katika chumba cha maabara ya Kemia.
Waziri Pinda akisalimiana na wananchi alipowasili uwanja wa ndege Jijini MBEYA hapa akisalimiana na Bwana Charles Mwakipesile Mwandishi wa habari jijini Mbeya
Hapa ni ofisa kutoka ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Mbozi Bwana Msangi akisalimiana na Mh Pinda mara alipowasili jijini Mbeya jioni ya leo
Kwa hisani ya Mkwinda Blog