Adverts

Jan 22, 2012

Edward Lowassa na Zitto Kabwe

Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA), Zitto Kabwe kwenye msiba wa Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha Mstaafu Marehemu Jeremia Sumari jana.Picha na Mdau Richard Mwaikenda