Adverts

Jan 22, 2012

JUMAPILI NJEMA WAPENDWA!!

JUMAPILI NJEMA WAPENDWA!!: Napenda kuwatakieni wote mtakaopita hapa JUMAPILI njema sana . Nineona niwatakieni jumapili hii kwa wimbo huu ingawa sielewi nini kinasemwa ila nimeupenda tu...naamini wanaimba kumsifu Mungu.....