Adverts

Apr 25, 2012

BUNGE LA CHUO CHA MIPANGO LAKETI

Baadhi ya mawaziri wa Bunge la Chuo cha Mipango Dodoma, mwenye suti Nyekundu ni waziri wa Elimu Bi Amina Said Mhina akinukuu hoja za waheshimiwa wabunge wanaowakilisha kozi zao katika chuo hicho

Mmoja wa wanunge wa Kozi ya Diploma akichangia kwenye bunge hilo, huku mkurugenzi wa Mtandao huu ambaye pia ni mbunge wa bunge hilo akifuatilia kwa  Makini

Bunge linaendelea huku waheshimiwa wabunge wakifuatilia Makarabrasha mezani ili kuchangia kwa ufanisi

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge la Chuo cha Mipango akiwa na naibu spika pembeni pamoja na katibu wa Bunge bwana Kinyunyu kulia wakiwa wanafuatilia hoja za waheshimiwa wabunge