Adverts

Apr 25, 2012

CHUO CHA MIPANGO: HAKUNA KULALA MPAKA DOCUMENT ITOKE!! NDIVYO ULIVYOKUWA MKAKATI WA WANACHUO KAMBINI WAMI DAKAWA

Wadau Papilone Nkone na Cyprian Mhelanyi wakiwa kwenye mchakato wa kufanya uchambuzi wa takwimu za utafiti mdogo wa pato la kaya katika kijiji cha Wami Dakawa

Waliosimama kuanzia mwenye fulana ya Mistari myeusi na mieupe ni Profesa Zilihona, akifuatiwa na mama   Dr Nhembo, Dr Timoth, Dr Msaki, Dr Kamanzi na Bwana Mashauri aliyeshika kiuno  wakifuatilia wakati wanachuo wakiingiza takwimu kwenye vinakilishi, katika kijiji cha Wami Dakawa  wiki iliyopita.

Wakati mwingine ilikuwa fulsa ya kucheza na watoto Ukuti wa nazi!!!

Dr Msaki akiongoza namna ya kufanya uchanganuzi wa takwimu kwa kutumia SPSS ilikuwa burudani tosha, mmiliki wamtandao huu naye alikuwepo


Wanafunzi wa kozi ya Utawala Bora wakifuatilia wakati mkufunzi wa kozi hiyo Dr Kamanzi akitoa maelekezo kwenye kinakilishi

Chief Pangani kushoto akiwa kwenye majukumu pamoja na bwana George Mwakamele wakati wa kutengeneza miradi ya Maendeleo baada ya kushirikana na wananchi katika hatua za awali za kubaini matatizo na kupanga vipaumbele vya utekelezaji