Adverts

Apr 25, 2012

MAPAMBANO DHIDI YA MAAMBUKIZI YA VVU PIA YAELEKEZWA KWA WATUMISHI HALMASHAURI YA MBOZI

Watumishi wa Halmashauri ya wilaya Mbozi wakifuatilia mawasilisho kwenye mafunzo yaliyoandaliwa na kitengo cha kudhibiti UKIMWI cha Halmashauri hiyo

Mwandishi wa mtandao huu ni miongoni mwa waliopata fulsa ya kushuhudia mafunzo ya afua za UKIMWI mahala pa kazi katika wilaya ya Mbozi, ambapo watumishi wa halmshauri wamejengewa uwezo katika kukabiliana na maambukzi kwenye kaya zao ,mahala pa kazi na kule wanakotolea huduma (kwa wananchi)

Msosi  ni sehemu ya kuwezesha usikivu wakati wa mafunzo hapa watumishi wa halmashauri hiyo wakila chakula cha mchana