Adverts

Apr 26, 2012

Mdau Robert Siwingwa akiwa katika pozi, ni sehemu ya mapumziko wakati wa  Utafiti wa hali ya Kipato kwa wananchi wa Bonde la Wami Dakawa ambapo ilibainika kuwa asilimia 56 ya wakazi wake wanapato la chini ya dola moja kwa siku

Utafiti huo haumaanishi kuwa watafiti wenyewe waliishi chini ya dola moja!!! Chief Pangani akiwa ameshikiria mfupa wa nyama, hii ilikuwa chakula cha Mchana wakati wa utafiti huo

Kumekucha ratiba ya kwenda field imeanza, Indaba Afrika akiwa na rafikie tayari kwa safari