Adverts

Apr 23, 2012

MKAKATI WA KUIMARISHA AFUA ZA UKIMWI MASHULENI WILAYANI MBOZI

Bwana Sadnessy Ngetwa akitoa mada mbele ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ilasi Medium iliyopo Mjini Vwawa katika wilaya ya Mbozi, Halmashauri ya wilaya hiyo imejielekeza katika kujenga uwezo kwa kundi la vijana walio mashuleni kutokana na kasi ya maambukizi kuelekea kwenye kundi hilo

Dr Mwasubila mratibu wa UKIMWI katika sehemu ya Tiba wilayani humo akizungumza na wanafunzi wa Ilasi kwenye mafunzo hayo

Sehemu ya wanufaika wa mafunzo hayo wakiendelea kusikiliza