Adverts

Jun 30, 2012

TATHMINI YA UWEZO WA KUSOMA, KUHESABU NA KINGEREZA ILEJE YAPOKEWA VYEMA

Mkuu wa wilaya ya Ileje Rosemary Senyamule Staki akizungumza ofisini kwake baada ya Mratibu wa Program ya Uwezo wilayani humo Danny Tweve akitoa kwa muhtasari tathmini ya utafiti wa mwaka 2011

Mratibu wa Uwezo Ileje akiwasilisha matokeo ya utafiti wa 20111 mbele ya mkuu wa wilaya Ileje Bi Rosemary  Senyamule kushoto ni katibu tawala wa wilaya ya Ileje

Watafiti wa Kujitolea wakiwa katika mafunzo ya siku mbili wilayani Ileje kwaajili ya kujiandaa na utafiti wa mwaka 2012

Sehemu ya mafunzo na washiriki wakiwa makini kufuatilia mwezeshaji

MAISHA NI POPOTE

Hapa ni kijiji cha Wami Dakawa siku nilipopiga kambi huko kwaajili ya utafiti

WAPI FRED MBUNA? BONANZA LA VETERAN LAKUMBUKWA MBOZI

Kumbu kumbu kutoka blog hii siku Fred Mbuna alipoongoza kikosi cha maangamizi ya Makambako Veterani katika michezo ya bonanza iliyofanyka katika viwanja vya Chapwa mwaka juzi

Jun 29, 2012

KIOTA KIPYA CHAFUNGULIWA WILAYANI MBOZI- NI MKOLA HOTEL

KIOTA kipya cha Mkola Hotel iliyopo katika Mji wa Vwawa wilayani Mbozi kama inavyoonekana

Karibu Mkola Hotel iliyopo eneo la Mwenge wilayani Mbozi
Christian na Rafikizake walizindua mlo kwenye kiota hicho kipya


Kijana wangu akiwa amepozi kwenye eneo la Hoteli hiyo Mpya iliyopo katika Mji wa Vwawa wilayani Mbozi

VIJANA WANGU WANAPOKUWA NA FURAHA

Huwa tunatambaa hivi!!! ndivyo kaka mtu anavyomfundisha mdogo wake

Christian na dada yake Christabel

mwendo wa Ng'ombe staili wote tumetokea huku  ndipo tukaanza kutembea !!!