Adverts

Jun 30, 2012

TATHMINI YA UWEZO WA KUSOMA, KUHESABU NA KINGEREZA ILEJE YAPOKEWA VYEMA

Mkuu wa wilaya ya Ileje Rosemary Senyamule Staki akizungumza ofisini kwake baada ya Mratibu wa Program ya Uwezo wilayani humo Danny Tweve akitoa kwa muhtasari tathmini ya utafiti wa mwaka 2011

Mratibu wa Uwezo Ileje akiwasilisha matokeo ya utafiti wa 20111 mbele ya mkuu wa wilaya Ileje Bi Rosemary  Senyamule kushoto ni katibu tawala wa wilaya ya Ileje

Watafiti wa Kujitolea wakiwa katika mafunzo ya siku mbili wilayani Ileje kwaajili ya kujiandaa na utafiti wa mwaka 2012

Sehemu ya mafunzo na washiriki wakiwa makini kufuatilia mwezeshaji