Adverts

Feb 18, 2012

Yanga yashindwa kutamba nyumbani leo,yatoka sare ya bao 1 - 1 na Zamaleck

Mshambuliaji wa Timu ya Zamaleck,Amr Hassan Zaki akipiga shuti lililompita mlinda mlango wa Yanga,Shaaban Kado na kutinga wavuni na kufanya matokeo kuwa 1-1 yaliyodumu mpaka mwisho wa mchezo.
Wachezaji wa Zamaleck wakipongezana mara baada ya kusawazisha bao lao.
Hivi ndivyo matokeo yalivyokuwa mpaka mwisho wa mchezo wa leo.
Kocha Mkuu wa timu ya Zamaleck,Hassan Shehata akizungumza na vyombo vya Habari mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa leo,ambapo amesema kuwa Yanga ni timu nzuri na si ya kuibeza kwani wanacheza mchezo mzuri sana na wanajipanga kwenye mchezo wao wa marudiano.
KUTOKA MICHUZI BLOG

Feb 10, 2012

SAMAHANI WASOMAJI WA MTANADO HUU SIKUWA HEWANI

TAKRIBANI WIKI MBILI NILIKUWA NJE YA MTANDAO HUU KUTOKANA NA MAJUKUMU YALIYOKUWA MBELE YANGU SASA NIMEREJEA, INGAWA BADO NACHECHEMEA KUTOKANA  NA MAJUKUMU MENGI KUWA MBELE!!!

4 Things to Do When Single on Valentine’s Day …

Single On Valentine’s Day can be rough. It’s a day to celebrate love and kindness. Most people spend it showering their significant other with gifts and romance. However, being single on Valentine’s Day doesn’t mean you need go into hiding. There are still many ways you can enjoy this day! Being single on Valentine’s Day doesn’t have to be depressing, in fact, I’ve got the top 8 things that you can do when you find yourself single on the day of love! 1. Watch Scary Movie Being single on Valentine’s Day means you can celebrate however you want! You don’t have to focus on love and romance. You can go the completely opposite direction. Gather up a few scary movies and a big bowl of popcorn. Spend your night at home watching a few scary movies and forget all about love. 2. Go Out Many night clubs and bars have special events going on for those of us that are single on Valentine’s Day. Get your girls together and go out for a night on the town! Don’t make the night about meeting a new man, just have fun and enjoy the benefits of being single. 3. Exchange Valentines With Your Single Friends I’m sure at least one of your friends is also single on Valentine’s Day right? Ask her if she’d like to be your Valentines this year. You can exchange cheesy gifts and cards. Maybe you can even have them sent to each other at work so you don’t feel left out while others are getting flowers and balloons delivered. 4. Hang Out With Family When was the last time you went to visit your mom and dad, or met up for drinks with your sister? Call up you family and plan a day of good old family fun. Valentine’s doesn’t have to be about being in love. It can be about spending time with anyone you love.

Boko Haram member arrested in Abuja

A Boko Haram member that was apprehended around the Federal Secretariat Abuja yesterday being taken away by security operatives

UNAYEMPENDA UMEMWANDALIA ZAWADI HIZI KWA VALENTINE?

. An LV shoe, Black Berry Porsche, Ipad and Mac Book. Chai, better man! Hehehehe!

MAAZIMIO YA KIKAO KATI YA WAZIRI MKUU NA MADAKTARI

Kamati ya muda ya kushughulikia madai ya madaktari nchini inapenda kuwajulisha madaktari wote pamoja na kada nyingine zote za afya nchini juu ya kile ambacho kimejiri katika siku ya leo ya tarehe 09.02.2012 ikiwa ni matokeo ya kikao wanataaluma wa kada za afya na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda na baadaye kufuatiwa na kikao kati ya madaktari na kada nyingine za afya.
Ifahamike kuwa kama Kamati tulipata mwaliko wa kushiriki katika Mkutano huo ambapo ilitarajiwa kuwa Mhe, Waziri mkuu atafika kwa nia ya kutoa mrejesho wa madai ya madaktari yaliyowasilishwa mezani kwake mnamo tarehe 23.01.2012. Madai yetu yalikuwa manane na Mh Wazizri mkuu aliweza kutoa maelezo ya dai moja baada ya lingine.
Miongoni mwa madai ambayo mpaka sasa yamepatiwa majibu ya kuridhisha ni pamoja na;
  1. Kuwawajibisha watendaji wakuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, wakiwemo Katibu Mkuu Mama Blandina Nyoni , na Mganga Mkuu wa Serikali Dr. Deo Mtasiwa. Aidha Mh waziri mkuu alisema kuwa ameshalifikisha kwa Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania suala zima la kuwawajibisha watendaji wa wakuu wa kisiasa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambao ni Waziri Mh Hadji Mponda na Naibu Waziri Mhe. Lucy Nkya.
  2. Kama sehemu ya maridhiano, Mh Waziri Mkuu pia aliahidi mbele ya mkutano kuwa hakutawepo na unyanyasaji au vitisho vya aina yoyote ile kwa wale wote walioshiriki katika kushinikiza Serikali kutatua kero hizo. Aidha kama sehemu ya maridhiano, Mh waziri Mkuu pia alifuta zuio la madaktari kutokufanya mikutano. Lakini pia, Mh waziri Mkuu alisema kuwa Serikali haina kusudio la kumfukuza kazi mtumishi yeyote wa afya yule kazi aliyeshiriki katika mchakato huu wa kuishikiniza Serikali kutafuta ufumbuzi madai ya madaktari nchini.
  3. Aidha, Mh waziri Mkuu amesema “Interns” wote waliokuwa wamehamishwa kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wamesharudishwa bila masharti katika hospitali hiyo ili kuendelea na program kama kawaida. Hili pia linaambatana na kulipwa na kupewa stahiki zao zote.
  4. Pia suala la madaktari na familia zao kuwa na Kadi ya Bima ya Afya ya kijani( Green Card) limekubaliwa na kwa sasa tusubiri utekelezaji.
  5. Pia ilikubaliwa kuwa madaktari watapata fursa ya kukopeshwa magari kama watumishi wengine wa umma.
Mbali na madai hayo, pia Mh. Waziri Mkuu alitoa ufafanuzi juu ya madai yanayuhusu maslahi ya watumishi wa afya ikiwa ni pamoja na Mishahara na Posho na stahiki mbalimbali. Lakini hata, Mh waziri Mkuu hakutoa majibu ya moja kwa moja ya kiwango gani kitakachoweza kulipwa na Serikali kama mishahara, posho na stahiki mbalimbali kwa minajili kwamba bado zinafanyiwa kazi na kamati ya wataalamu aliyoiunda ili waweze kumshauri.
Aidha, Mh waziri Mkuu alisema kuwa kwa wakati huu inaweza kupandisha “on call allowances” za kada mbalimbali za afya kutoka shilingi 3,000 – 10,000/= na kufikia kati ya shilingi 5,000 hadi 25,000. Madaktari bado wanaona ongezeko hili halilingani na ukubwa wa kazi ifanywayo pindi mtumishi wa afya anapokuwa “on call” na hivyo basi kuendelea kupendekeza kuwa “on call” allowance iwe ni 10% ya mshahara wa mtumishi husika.
Pia Mhe, Waziri Mkuu hakuweza kueleza kinagaubaga mkakati kazi wa uboreshaji wa huduma za afya wapatayo wananchi wa Tanzania.
Baada ya tamko hilo la Serikali kumalizika, Mh Waziri Mkuu na ujumbe wake waliondoka, na Mkutano huo ukaendelea kwa Kamati kufanya Mkutano na madaktari wote, lengo ikiwa kujadili tamko hilo na kutoa maazimio.
Baada ya majadiliano ya muda mrefu, madaktari walikubaliana kwamba; kwa kuwa Serikali imeanza kuonyesha nia ya kutatua tatizo hili kwa kutekeleza baadhi ya maazimio yetu, wajumbe kwa niaba ya madaktari wote nchi nzima tulikubaliana na kuazimia yafuatayo;
  1. Kurudi kazini mara moja kuanzia kesho tarehe 10.02.2012 bila masharti yeyote.
  2. Kamati ya jumuiya ya madaktari kama sehemu ya MAT kuendelea kukaa mezani ya majadiliano na Serikali ili kuanza kupitia madai hasa yale yanayohusu maslahi.
  3. Kukutana tena tarehe 03.03.2012 ili kupata mrejesho wa kiwango cha utekelezaji wa madai hayo kwa mujibu wa vikao vya majadiliano na makubaliano na hatimae kuchukua hatua zaidi.
  4. Kujadili utekelezaji juu ya Kuwawajibisha Waziri na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi na Jamii.
  5. Mwisho kabisa Madaktari wote kwa ujumla wake walilaani na kukemea kitendo cha Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwahoji wanaharakati wa haki za kibinaadamu na mashirika ya kijamii wakiwemo Dr. Hellen Kijo-Bisimba na Mama Ananilea Nkya na wanaharakati wengine wote waliokumbwa na kamata kamata hiyo na hivyo basi tunalitaka jeshi hilo kuwaachilia huru mara moja bila masharti yeyoye.
Pamoja Tunaweza
Imetolewa na Kamati ya muda ya kushughulikia madai ya madaktari Tanzania
Dr, Ulimboka Stephen
Mwenyekiti.

KAZI YA MIKONO YETU SISI WENYEWE.....!!!

Siyo kila kitu unachotumia ni lazima kiwe kimetoka kwa mzungu, angalia ubunifu huu wa Pull! kutoka blog ya g sengo