Adverts

Jan 28, 2013

WAZEE WA NGWASUMA KUFUNIKA SHUGHULI YA KUWAAGA WADAU MBOZI

Kundi la FM academia wazee wa Ngwasuma wanatarajiwa alhamis hii kumwaga mayai kwenye shoo maalumu kwaajili ya kuwaaga wadau wa sekta ya afya wilayani Mbozi walitumikia hadi kufikia mwisho wa utumishi wao kisheria al maarufu wastaafu.

Shughuli hiyo inaambatana na kukaribisha mwaka 2013 ambapo wazee wa Ngwasuma wamekuwa wadau muhimu katika burudani pande hizi hapa za mpakani! na sasa wameamua kuangusha kikosi kizima kwenye shughuli hii

Inaelezwa kuwa wadau kama Brother K kutoka mujini Tunduma na kundi zima la mapedesheee wa boda ni miongoni mwa waliojitokeza kubeba zigo la shughuli hiyo na kwamba burudani ya kufa mtu inatarajiwa kuwekwa katika ukumbi wa Mpemba Makuti Village

Kutokana na kujulikana kwa kundi hilo hadi pande za Zambiatan huko, tayari watu kutoka Nakonde wanaomba wajisogeze kwenye shughuli hiyo hata hivyo kutokana na ukweli kwamba shughuli hiyo haina mtazamo wa kukusanya mapato bali burudani, haitawezekana kubeba abiria nje ya level seat!

Tayari kamati ya maandalizi ya shughuli hiyo ikiongozwa na Godfrey Msokwa imeshakamilisha masuala ya msingi kwa asilimia 99.2 hizo zilizobakia ni za mwenyezi mungu  anaeleza mmoja wa waandaji papa mzee wa migoma!


Jan 27, 2013

BARAZA LA MADIWANI MBOZI LAGAWA MALI NA WATUMISHI , UKIMYA WATAWALA WAKATI WA KUTANGAZA WANAOENDA KUANZISHA WILAYA M


Mwenyekiti akiwapiga dongo watumishi kuwa wasije mnunia ati alikuwa anasoma kwa msisitizo majina yao na akaamua kutoyasoma na badala yake kutaja tu idadi ya wanaoenda momba kwa kila idara
Mwenyekti CCM Mbozi Mzee Aloyce Mdalavuma akizungumza kwenye mkutano huo

baadhi ya wakuu wa idara wakifuatilia majadiliano hayo
Mkurugenzi Mbozi akizungumza kabla ya kuanza kupitia mali zinazogawanywa


Watumishi wakimeza mate kwa shida wakati wakisubiria orodha ya wanaoenda kuanzisha wilaya mpya ambayo hata hivyo majina hayakusomwa hadharani

Madiwani wakifuatilia mjadala
Mkuu wa wilaya ya Momba  Abiud Saidea akizungumza kwenye mkutano huo
Orodha ya magari yaliyogawanywa kwenye mchakato huo ambapo Momba wamepewa magari 17
Mbunge wa Mbozi Mh Zambi akizunguma kwenye kikao hicho ambapo alisisitiza maslahi ya wananchi yaangaliwe zaidi kuliko ubinafsi wa madiwani wenyewe

Kabla ya kuingia ukumbini wajumbe walilishana yamini na makubaliano ya kusimamia na kutetea hoja walizokubaliana kabla ya kikao
Mwenyekiti halmashauri akifungua baraza hilo

Dua ilitangulizwa kwenye kikao hicho ili kuwaongoza madiwani kutawaliwa na busara na hekima
Waraka kutoka TAMISEMI ukisomwa kwenye kikao cha baraza la madiwani juu ya namna ya ugawaji mali na raslimali watumishi nk
Mwenyekiti wa CCM Momba bwana Juma Mwandusu akizungumza kwenye mkutano huo akielezea kuwa huo ni mwendelezo wa hatua nyingine zilizofanyika zikiwemo za kisiasa ambapo CCM katika uchaguzi wa mwaka jana walipata viongozi kwa wilaya zote Mbili
Mbunge wa Mbozi Magharibi Ernest Silinde akizungumzakwenye mkutano huo wa kugawa mali

Video: Rihanna shows paparazzi some love...


Paparazzi was all over the pop star as she exited a club in Hollywood two nights ago, and one of them made the mistake of asking for a free ticket to her concert. Rihanna had a few choice words for the pap. She said:

F-ck all of y’all. Y’all muthaf-ckas better pay, you make enough money off of me. B-tches. Talking bout free tickets! Free tickets these nuts! 
It was all fun tho...lol. Watch the video above...

Wrong choice of words from a man of God


The priest at St Luke Anglican Church,
Akwakuma, Owerri, Rev. Ogechi Ofurum blames women for wearing tight clothes and tempting men...


Rev Ogechi Opurum said:

“The type of skimpy clothes ladies
wear nowadays is appalling. Clothes that children of 10 and 11 years
wear have now become the fashion of adults of 18 years and above. Those
clothes are so tight on them that every part of their body shows,
thereby provoking men to force themselves on them.
"
Is he justifying rape? There are other ways he could have made his point. Rape is a sadistic act and there's absolutely no excuse for it. Anyone who justifies rape is a potential rapist.

Jan 26, 2013

NDEGE YA ASILI KUTOKA MWANZA KWENDA MBEYA ILIPOGOMA KUENDELEA NA SAFARI

Inaelezwa kuwa sababu ya Ungo uliokuwa ukiendeshwa na kijana mmoja kati ya wawili waliokuwa wakiwahi kwenye msiba wa mama yao huko Mbeya, wakitokea mkoani Mwanza, ilishindwa kuendelea katika mji wa Singida baada ya kijana lena (asiyefahamu) vyema matumizi ya chombo hicho kukiuka masharti kwa kugeuka nyuma na matokeo yake chombo kushindwa kwenda mbele na kutua ghafla.

Kulingana na habari zilizokuwa hewani ITV jana wakati wakihojiwa vijana hao walieleza kuwa walikuwa safarini kutoka Mwanza kwenda mbeya na wangetumia muda wa saa moja mpaka mbeya na kuwahi msiba wa mama yao mpendwa

Kwa bahati mbaya mdogo mtu alikosea masharti kutokana na ugeni wake katika kutumia chombo hicho ambapo aligeuka nyuma kama alivyofanya mke wa Ruth kwenye biblia ambaye aligeuka nyuma na kutamani mambo ya sodoma na hatimaye kugeuka na kuwa jiwe la chumvi

Sasa dogo labda kwa kuhofia chombo kinavyovuma aliamua kugeua na kuchungulia kukokoni na ndipo hapo biashara ikawakata na kutua ghafla katika mji wa singida majira ya saa tisa usiku, ambapo walikamatwa na maafande waliokuwa patrol wakidhani vibaka, lakini katika mahojiano vijana wakaweka wazi teknolojia ya kusafiri kwa njia ya ungo

Ungo huwa na Tenki la Mafuta ambayo 'wajuvi' wanasema ni damu za watu.Kichupa hapo pembeni ndio tenki lenyewe!!



Hawa mashine zilizhemsha wakiwa angani huko Mwanza 'nadhani Radiator ilishindwa kufanya kazi vizuri' nyungo zikachemshaau mafuta yaliisha

  Udadisi umebaini kuwa ungo wa wachawi hutumia mafuta ambayo ni damu ya binaadamu.Huu ulishindwa kusafiri huko Mtwara.Tenki la Mafuta katika ungo huu ni kubwa...huenda huu una turbo kabisa!!!
picha na mwanza yetu blog

Gazeti la Mwananchi: Vurugu Tupu Nchini Tanzania

MAENEO ya mikoa ya Morogoro, Mtwara na Dar es Salaam, jana yaligeuka uwanja wa fujo na vurugu zilizosababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali, huku polisi wakitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi.
Vijana wakazi wa Dumila na vitongo vyake wakiangusha gari aina ya Land Cruizer T 241 AMS mali ya mfugaji katika barabara kuu ya Dodoma-Morogoro wakati wa vurugu zilizodumu kwa masaa sita kwa kuweka vizuwizi kwa lengo la kumshinikiza mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bebdera kusikiliza kero za wakulima.Picha na Juma Mtanda
Vurugu hizo zimehusisha wakulima na wafugaji wa jamii ya Kimasai kwa upande mmoja wa Morogoro, Mtwara Mikindani wananchi waliizingira nyumba ya Diwani wa Kata ya Mikindani kwa madai ya kuwahifadhi watu wanaodaiwa kuwa washirikina ndani ya nyumba yake, huku Dar es Salaam eneo la Kariakoo, polisi na Wamachinga wakipambamba na Mgambo wa Jiji.
Mkoani Mororgoro mtu mmoja aliyefahamiwa kwa jina la Mohamed Msigara (60) amefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea vurugu kati ya wakulima na wafugaji Kijiji cha Dumila, wila yani Kilosa, baada ya wafugaji wa Jamii ya Kimasai kuingiza mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima yaliyo katika Kitongoji cha Mfulu, Kilosa.
Pamoja na mauaji hayo, wasafiri waliokuwa wakitumia Barabara ya Morogoro – Dodoma, nao walionja machungu ya vurugu hizo, baada ya kukwama kwa saa 5 kutokana na wananchi wa kijiji hicho, kufunga barabara kwa mawe, magogo ya miti na kuchoma magurudumu ya gari.
Wananchi hao walichukua hatua hiyo huku wakisisitiza kutaka kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, ili kumaliza mvutano huo.
Sigfred Peter Kimasa

BARAZA LA KUTANGAZA MGAO WA MALI NA WATUMISHI MOMBA KUFANYIKA JUMAPILI

 HILI NDILO BARAZA LA MADIWANI LILILOKETI LEO KUJADILI MIPANGO YA MAENDELEO NA BAJETI YA 2013/2014 AMBAPO BAJETI ZA HALMASHAURI MBILI ZA MOMBA NA MBOZI ZIMEPITISHWA HUKU NDANI YAKE ZIKIWA NA BAJETI ZA MIJI YA TUNDUMA NA VWAWA
 MEZA KUU WAKIFUATILIA HOJA ZA MADIWANI KWENYE MAKABLASHA
 NDIVYO MKAO WA MADIWANI WAKATI WA KUJADILI BAJETI ZA WILAYA HIZO MBILI ILIVYOKUWA

MWEKA HAZINA MBOZI BWANA MBEGU MOJA AKIELEKEA UKUMBINI BILA MKOBA WA BAJETI  KABLA YA KUWASILISHA BAJETI YA WILAYA ZOTE MBILI ZA MOMBA NA MBOZI

Na Danny Tweve

Hatimaye zimesalimia saa chache wenye kuangua kilio, na wenye kuchelekea kufahamika wakati orodha ya watumishi watakaoliacha boma la awali na kuhamia katika wilaya ya Mpya ya Momba kutangazwa hapo kesho jumapili imefahamika.

Kwa kipindi kirefu kumekuwepo mvutano wa ugawaji mali na raslimali zingine kwaajili ya halmashauri za Momba na Mbozi ambapo wakati fulani hali ya kuelekea kutishiana ilianza kujitokeza

baada ya mvutano huo kipyenga cha mwisho kinatarajiwa kujulikana kesho ambapo akifunga mkutano wa baraza la madiwani waliokutana kupitisha bajeti za wilaya ya Mbozi na Momba leo, Mwenyekiti wa halmashauri mama ya Mbozi aliwataka wajumbe kwenda kusali na kuombea mkutano wa baraza la madiwani wa kesho jumapili ambao utagawa mali na raslimali watu.

Wakati pia kwa upande wa watumishi orodha ya  awali ya waliopangwa huko inadaiwa kukataliwa, zoezi la kupitia jina hadi jina kwa kutumia orodha ya watumishi kwa kila idara ilifanyika kwa siku kadhaa wiki hii na hatimaye watumishi wanaoitwa majembe waliorodheshwa na kutakiwa wapelekwe kwenye wilaya changa ili kuleta changamoto za maendeleo

Ingawa wapo waliotaka kuhamia wilaya ya MOMBA kwa hiari yao, uteuzi huo haujazingatia hiari ya watu  hatua ambayo inaleta hofu kama kweli wote waliochaguliwa kuelekea huko wataitikia kwa moyo mkunjufu safari hiyo

Miongoni mwa maeneo yanayodaiwa kuleta mvutano ni pamoja na mgawanyo wa mali kama magari ambapo    kumekuwa na kutupiana lawama baina ya madiwani wa eneo la Momba na wale wa eneo la Mbozi 

Habari zaidi zinadokeza kuwa mvutano mwingine kwa wilaya ya Momba umeanza kujitokeza mahala pa kuweka makao makuu ya halmashauri ya wilaya na kituo kikuu cha polisi, huku ikipendekezwa eneo la Utambalila wakati makao makuu ya wilaya yalishatamkwa kuwa CHITETE

Mvutano huo unaleta dhana aliyowahi kuipinga mwalimu Nyerere ya uzanzibara na uzanzibari ambapo sasa maeneo ya ukanda wa juu ya wilaya ya Momba wanataka makao makuu yasogee upande wao ili kurahisisha ufikiwaji wa huduma kwa wananchi wakati ambapo pia kwa upande wa ukanda wa chini unavutia makao makuu kuwa  maeneo mawili wengine wakitaka yawe kwenye msitu wa Utambalila na wengine Chitete kutokna na umbali wa eneo la Kamsamba

Yote bin yote ni kesho majira ya saa tano kama mungu ataongoza zoezi hilo limalizike kwa amani, kamera yetu itakuwa eneo la tukio kufuatilia ugawaji huo kutokana na jioni ya leo kuwepo fununu za baadhi ya madiwani kutaka kugomea zoezi hilo kwa madai kuwa baadhi ya mali zilizoitishwa hazijaletwa mbele ya kamati ya ugawaji 

stay tuned 

DAWA ZA SEPRINI AMBAZO HUTUMIWA ZAIDI NA WENYE VVU ZABAINIKA KUWA NA KASORO

 DAWA AINA YA SEPRIN (DIOTRIM 480 zinazozalishwa na kampuni ya KEKO  BATCH 661011 zilizotengenezwa 2011 ZIMEONEKANA KUWA NA KASORO BAADA YA VITUO VINGI VYA AFYA NA ZAHANATI WILAYANI MBOZI KURIPOTI VIDONGE KATIKA MAKOPO KUWA NA RANGI NYEUSI KAMA VINAVYOONEKANA UPANDE WA KULIA WA KOPO HAPO JUU
 TABIBU KATIKA ZAHANATI YA NAMBINZO AKIONYESHA MOJA YA MAKOPO YALIYOGUNDULIKA KUWA NA KASORO BAADA YA MGAO WA DAWA  HIZO, HUKU MKAGUZI MFAMASIA AKICHUNGUZA DAWA ZINGINE KITUONI HAPO
HILO NDILO KOPO LA KAMPUNI YA KEKO LENYE KASORO AMBAPO MATATIZO KAMA HAYO YALIBAINISHWA KWENYE ZAHANATI ZINGINE ZIKIWEMO  IKONYA, HAMWELO  AMBAPO MAKOPO ZAIDI YA KUMI YALIKUWA NA KASORO ZA AINA HIYO

Jan 25, 2013

NI MUHIMU HUDUMA KWA WATOTO YATIMA

Miongoni mwa watoto walio katika mazingira nagumu katika kijiji cha Ilolo wilayani Mbozi wakipokea sehemu ya misaada ya sare za shule kupitia mpango wa RFA ambao ulisitishwa mwaka 2008, huduma hizi ni muhimu kwa kundi la watoto walio katika mazingira magumu katika kutimiza ndoto zao

Uganda to recruit 10, 000 teachers


By Petrina Kyobutungi, Paul Kiwuuwa & John Agaba,

Government is in preparations to recruit 10,000 primary school teachers to tackle the problem of low staff in primary school.

Assistant commissioner for primary education Tony Mukasa-Lusambu. PHOTO/Esther Namirimu
Assistant commissioner for primary education Tony Mukasa-Lusambu. PHOTO/Esther Namirimu

Assistant commissioner for primary education Tony Mukasa-Lusambu said that starting this February they would embark on a massive recruitment of teachers in all districts to satisfy the current demand.

“There are many teachers who have died, others who have retired, and others who have left the teaching service,’’ said Mukasa-Lusambu.

“Also, the education ministry keeps on taking on more and more community-based schools but most of them don’t have enough teachers. So we need to address these challenges.”

Mukasa-Lusambu reveled this during the district education officers and other education stakeholders’ workshop at Speke Resort Munyonyo.

The workshop was organized by World Vision-Uganda to brainstorm on how best they can improve the quality of education in the lower education levels.

He said that every Primary Seven school must have a minimum of seven teachers, the head teacher inclusive, with the official pupil-teacher ratio being 53 pupils to one teacher.

But the situation on the ground is far from what is required.

Currently, some teachers single-handedly handle classes of more than 80 pupils, something that is crippling the education standards in schools.


The recently released Primary Leaving Exams (PLE) results show that urban schools performed better than rural schools. Some of the reasons education experts pointed out for this disparity in performance are lack of enough teachers and absenteeism both for teachers and pupils.

Mukasa-Lusambu urged the district education officers to ensure that the pupil-teacher ratio is adhered to. And that if a school does not stick to this, the head teacher complies a report and sends it to the education ministry.

Raia wa Magharibi watakiwa kuondoka Benghazi


Ghasia za maandamano Benghazi.
Nchi za Magharibi zimewataka raia wao kuondoka haraka katika mji wa Benghazi mashariki mwa Libya, kufuatia kile nchi hizo zilichokiita ''kitisho maalum ambacho kinaweza kutekelezwa haraka''.

Uingereza ndio iliyokuwa nchi ya kwanza kuwataka raia wake waondoke mara moja mjini Benghazi, na baadaye ikafuatiwa na Ujerumani. Nchi hizo zilikuwa zimewashauri rai wao kuacha kufanya safari katika sehemu nyingi za Libya, baada ya mashambulizi ya mwezi Septemba kwenye ubalozi mdogo wa Marekani mjini Benghazi, ambayo yalimuua balozi wa nchi hiyo Christopher Stevens na maafisa wengine watatu wa ubalozi huo.

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ujerumani, Guido Westerwelle, alisema kitisho mjini Benghazi dhidi ya raia wa nchi za magharibi ni cha dhahiri.

Mzozo wa Mali wahusishwa

Alipoulizwa kama kitisho hicho kina uhusiano wowote na operesheni za kijeshi za Ufaransa nchini Mali, waziri wa nchi wa Uingereza anayehusika na masuala ya nchi za nje David Lidington, alisema kitisho hicho kilikuwepo hata kabla.

''Kitisho cha ugaidi katika mji wa Benghazi na katika maeneo mengine katika ukanda ule kilikuwepo kabla ya mzozo wa Mali na kabla ya mgogoro wa wiki iliyopita nchini Algeria. Huwa tunatoa tahadhari na ushauri wa kuondoka kama tulivyofanya sasa kuhusu Benghazi, ikiwa tu tunao ushahidi dhahiri na wa kuaminika kwamba kitisho kilichopo ni bayana.'' Alisema Lidington.

Hata hivyo, wizara ya mambo ya nchi za nje ya Uingereza imesema kuwa kuingilia kwa Ufaransa katika mzozo wa Mali kumeongeza uwezekano wa mashambulizi dhidi ya raia wa nchi za magharibi.
Marekani yajitenga


Nchi nyingine ambazo ziliwatahadharisha raia wao kuhusu kitisho cha usalama katika mji wa Benghazi ni Uholanzi na Australia, lakini Marekani imesema kuwa inaamini kuwa kitisho cha sasa katika mji huo kinawalenga raia wa nchi za Ulaya, sio wamarekani.

Shirika la ndege la Malta liliahirisha safari ya ndege yake mjini Benghazi, kwa kuzingatia onyo la wizara ya mabo ya nchi za nje ya Uingereza.

Hatua hiyo ya nchi za magharibi imeikasirisha Libya, ambayo imesema kuwa taarifa za kitisho cha usalama hazina msingi wowote. ''Wizara ya mambo ya ndani ya Libya inakanusha vikali taarifa za kuwepo kwa kitisho cha usalama wa raia wa kimagharibi na wakazi wa Benghazi, na inatoa hakikisho la usalama na utengamano katika mji huo'' limeripoti shirika la habari la Libya, LANA, likimnukuu afisa wa wizara hiyo.

Kuna raia wachache kutoka nchi za magharibi katika mji wa Benghazi, ambao umeshuhudia mashambulizi kadhaa dhidi ya wanadiplomasia wa kigeni, na pia dhidi ya vituo vya jeshi na polisi.

Chanzo DW

Hillary Clinton Wearing Special Glasses Following Concussion


Though Hillary Clinton's glasses may have helped her communicate a range of subtle emotions during her Congressional testimony on Wednesday, they also served another, arguably more important purpose: As the Daily News noticed earlier tonight, Clinton's spectacles appear to be outfitted with a Fresnel prism, which is used to treat double vision.
Clinton spokesman Philippe Reines has confirmed to Daily Intelligencer that Clinton will "be wearing these glasses instead of her contacts for a period of time because of lingering issues stemming from her concussion."
"With them on she sees just fine," Reines assured us. "In fact, she got a kick out of your seven expressions and captions when she saw them crystal clear."
Presumably, Clinton read the post while making the "Some People Have Too Much Time on Their Hands" Adjustment.


Read more posts by Dan Amira
Filed Under:
secretary of awesome
,hillary clinton
,politics
,love and war
,eyeglasses

SEKRETARIETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI YAELEKEA KIGOMA KWA TRENI


 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma wakati akiwa na msafara wa viongozi wenzake wakielekea mkoani Kigoma leo kwa ajili kuhudhuria sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa CCM.
 Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Asha-Rose Migiro akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma leo.
Baadhi ya Wana CCM wakimuaga Kinana na msafara wake kutoka stesheni ya reli Dar es salaam kwenda Kigoma, leo. 
Picha na Bashir Nkoromo

KANISA KATOLIKI LAJITOA KWENYE UMOJA WA WAKRISTO NIGERIA


Right: official Catholic church letter withdrawing from CAN

The Catholic Church of Nigeria yesterday temporarily withdrew its membership from the Christian  Association of Nigeria (CAN). Their reason? That CAN under Pastor Ayo Oritsejafor has been compromised. Also because of some uncouth statements by some Christian leaders, and the use of money in CAN elections and several court cases involving state chapters of CAN.

Spokesperson of the Church, Rev. Fr. Dr. Cornelius Omonokhua, said:
"You just can't save people who are drowning, if you are drowning with them. CAN is being dragged into partisan politics thereby compromising the ability to play its true role as conscience of the nation and the voice of the voiceless. We will be happy if CAN leadership can show moderation. Common sense dictates that they do that.”
The Catholic church said they would review their withdrawal from CAN after the annual meeting of the Conference of Bishops in February. See more after the cut...



Meanwhile CAN has reacted to CCN's withdrawal, calling it good riddance. A rep accused the Christian denomination of arrogance, saying they were merely angry because the presidency of the association had moved to another bloc of the group.

Spokesperson for the 19 Northern chapters of CAN, Sunny Oibe, told Punch:
“There are some certain elements in the leadership of CAN led by Cardinal John Onaiyekan because he lost CAN Presidency to Oritsejafor who has a lot of achievements. There is no need for anybody to lose sleep over the threat by Catholics to pull out of CAN because without them CAN will still continue. The constitution of CAN makes provision that membership can be terminated by any group that is misbehaving or any group can also terminate their membership.
“Why is it that when Catholics were in the leadership of CAN, every bloc supported them, but now because power has changed hands, they are threatening to pull out and causing confusion?
"They have been agitating that the Presidency of CAN must come from the South. They are appendage of PDP and PDP themselves. They are known for double standards. A man of God should not be double speaking.”

UNAMKUMBUKA BUJAGA IZENGO KADAGHO ENZI HIZO

MTANGAZAJI WA SIKU NYINGI BUJAGA IZENGO KADAGHO TUMEPOTEANA SIKU NYINGI NA HUYU BABA ASKOFU SIJUI YUPO DUNIA IPI? KWA MARA YA MWISHO ALIKUWA SUA TV NAKUMBUKA, KILA LAKHERI NI MIONGONI MWA SAUTI ZILIZOKUWA NA MVUTO ENZI ZA KUSOMA TAARIFA RADIO TANZANIA, REDIO ONE KOTE HUKO

MAMBO YETU YALEE!!!

 Mambo ya shooting, action, take two
Hujala hubebi hii kitu!

NINAWAPENDA WANANGU!

wanangu ninawapenda, kila miambili ninayopata nitawahifadhia shilingi 20 kwaajili ya baadaye yenu,  mungu azidi kuwalinda kwa ulinzi wa kiroho nami najitahidi kuwalinda kimwili!