Adverts

Jan 18, 2013

CHAMA CHA WALEMAVU WASIOONA MBOZI WAKUTANA KUTENGENEZA MPANGO MKAKATI

Afisa Maendeleo ya jamii Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Bwana Christopher Mahawa akifungua  warsha ya siku tatu ya kutengeneza mpango mkakati wa wa chama cha wasioona wilaya ya Mbozi

Wanachama wa chama cha wasioona wakifuatilia mijadala ukumbini

Mwenyekiti wa chama cha wasioona Mbozi Anyosisye Mwaswala akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano huo